Huyu anajifunza utapeli au ni mbobevu

Huyu anajifunza utapeli au ni mbobevu

Namba hivi wanapata wapi
kikulacho,wanavizia wanaosomesha,wenye fedha benki au soft money,wanaotarajia kupata promotion,kustaafu,waliouza mali zao,wanaotafuta asset za kununua,wachacharikaji,wenye kesi mahakamani, takukuru,polisi na watuhumiwa mbalimbali .ukizubaa tu umeliwa kichwa.
 
Huyo ni mbobezi, hata baada ya usajili wa vidole hana wasiwasi ana uhakika na anachokifanya..!
 
Huyo ni mbobezi, hata baada ya usajili wa vidole hana wasiwasi ana uhakika na anachokifanya..!
Hilihili dole nililolisajili nitakuja lipitisha kwenye makalio ya mtu
 
Back
Top Bottom