kikulacho,wanavizia wanaosomesha,wenye fedha benki au soft money,wanaotarajia kupata promotion,kustaafu,waliouza mali zao,wanaotafuta asset za kununua,wachacharikaji,wenye kesi mahakamani, takukuru,polisi na watuhumiwa mbalimbali .ukizubaa tu umeliwa kichwa.