mkuu,
ni vijana wachache sana wa ki-tanzania ambao tupo tayari kudumisha mila(yaani pamoja na kuwowa wanawake zaidi wa watatu)!NIPE SENKSI KWA MSIMAMO HUO BAS MPWAAAA
HAHAHAHA!Umesahau ratio yetu? 1:4! Mi ntafanya 1:5 kuziba pengo la kaka yangu padre. Hope you will assist too! Dumisha mile ile wengine wameshashindwa!
HAHAHAHA!
kama ni hivyo,wale wanne wa kaka yako wawili chukua uwe na 1:6,mimi mmoja nakuwa na 1:5 na fidel mmoja inakuwa 1:5
Nina bf wangu ambaye tuko kwenye uhusiano kwa muda sasa, all was very well at the beginning lakini lately naona mabadiliko ambayo yanapelekea mie kupata wasi wasi kwamba he is not serious anymore, ukimuliza what is wrong majibu yanakuwa am very busy, kazi nyingi, shuguli za hapa na pale, inapelekea sometimes inapita mwezi hatuonani na anadai ni vijimambo 2 vinatufanya tuwe apart, mind you haya yote hayakuwepo mwanzoni, basi hivi majuzi nikamtolea uvivu nikamwambia just tell me if its over ili ni move on with my life, lakini akaniambia he still loves me, and am imagining things, hivi hii inawezekana kweli ukaribu ni zero, caring ni sifuri. Naombeni msaada wa ushauri wanajf maana naona things are getting worst.
Sijambo Mamushka bht,habari za xmass? nilikumiso.muulize Xpin anajua kwa nini ZD ana hasira sana siku hizi haaaaa!!
ZD sweety how are you???
Hizi ratio TBS ina habari kweli???HAHAHAHA!
kama ni hivyo,wale wanne wa kaka yako wawili chukua uwe na 1:6,mimi mmoja nakuwa na 1:5 na fidel mmoja inakuwa 1:5
...usijali, hiyo ni miongoni tu mwa 'four seasons of love'.
Kama (mfano wa) majira ya Spring na summer, ...mapenzi yanachipuka na kuwa motomoto. Kipindi cha Autumn na Winter, ...mapenzi yanapukutika, yanapowa...kisha mzunguko wa pili unaanza tena...
Mind you, hata kwenye maisha ya ndoa mzunguko ni huo huo.
Vumilia ujifunze kiwango cha ustahmilivu wako.
Duu,a super non-sense i ever heard before,jaribu fikiria hizo thread zinasomwa na kina nani then ndio uzipost,coz sometimes your threads can show us who you really are,kuwa makini unapokuwa na watu makini!!fu*k u!
Hiyo bold imekugea senksi. Kakague uthibitishe!otee, ataanza kuvumilia mapema mno jamani, bfrnd amvumlia akiingia nae ndani huyo c ndio balaa?....mhh ngoja nimalizie noeli mie!..btw Chriss nimependa sign yako.
Nimekubali lakini aniambie kweli kwanini aniambie he still loves me, sikudanganyana huko?
Sijambo Mamushka bht,habari za xmass? nilikumiso.
mwenzio hii ratio ya 1: 5 naona inanishinda ,na hizi mila zilizopitwa na wakti.Mwenzio nina wivu sana yani.nisijekufa siku si zangu.
una umri gani wewe lily? huyo ni bf wako wa kwanza au?
umesubiri kaondoka!?😀hapo pa bold umeniosha nimetakata..hahaaaa lol!! am gud dear, xmass was mchanganyiko wa furaha na majonzi bt am back to normal(a lost a friend in moshi) wee tazama tu na macho hiyo ratio, hathubutu Iribini anajidai hapa jamvini tu!!!!
umesubiri kaondoka!?😀
ooh!pole sana mamahhaaaaa mi leo nipo internet cafe mpwa yaani naibia ibia tu
Jeneral hapo nasukumwa kusema mapenzi ya kweli hayana pai kipeuo cha pili (kanuni) binafsi nimevumilia uhusiano ambao nimehisi kuwa mtumwa wa moyo wangu!! ( i have tried the above and many more) in vain!!!!dada pole sana, ni kawaida yetu wanaume, huwa vigumu kumwacha mtu live sabu ya kukuzoea sana afu pia tunahofia ung'ang'anizi wenu kuuliza kwanini unaachwa na kulia lia kwenu wakati mwingine kulazimisha uambiwe sababu au usamehewe makosa usiachwe. Mambo mengine hayaelezeki. Kwa mfano mademu wengine mvaa vibaya na hamtaki kubadilika eti mmesoma mnaenda na wakati, pia wengine wavivu anakutembelea geto anataka kitandani tu hataki hata kufua au kuosha vyombo vya jamaa geto anaona noma. Jamaa anapima huyu vipi? majibu ya haraka ni kwamba tukioana utanifanya house boy au utataka housegeli atupikie na kutufulia. Wa nini wakati hatuna mtoto?
Sababu nyingine ni mademu wenyewe kujifanya modern wa western kuliko wazungu wenyewe kwenda kijijini kwetu Karatu au Kigoma hataki wala kujenga kijijini hamtaki mwataka mjini. sasa tukishawajua hivyo nasisi tunawaza huyu kwetu hatakubali kwenda mana kitanda chetu kijijini ni changa na mkeka, au nyumba yenyewe mbavu za mbwa na bati za kulaza maarufu 'slops' nyie mwaona ushamba nitakupeleka wapi na nyumba ya kupanga hadi lini?
Afu zaidi wengine hamjihangaishi kabisa na ujasiriamali, mkipata muda wa kupumzika ni saluni kuongeza kucha unarudi geto nikichelewa kurudi unaanza kutext honey vipi mboma wachelwe? mna kera nyie! hamjui tu.
Ushauri kwako kama hujatambua jamaa kishakumwaga kwa sababu nilizoeleza hapo juu.
1. Mtafute toka naye mahali tulivu kusiwe na kitanda, muulizane vipi mwenzangu mbona waniweka njia panda? umepata mwingine, mbembeleze akueleze kama bado ujue kuna jambo limemkera kwako hata sema kati ya hayo hapo juu.
2. Mwambie katika maisha yake alitarajia mke wake awe na sifa zipi. Akufafanulie kila sifa anayotaka nawe utafakari hizo unazo au wambabaisha tu mjini.
3. katika kumuliza ujue mazingira ya kwao yakoje na angetaka wewe uwe vipi.
4. kama bado anakupenda, nenda naye kwa wataalamu wa saikolojia kama mimi japo hutonipata, awashauri mapenzi yenu yana kosa nini na nini mfanye muyaboreshe.
5. Kuwa mbinifu katika uhusiano si kitandai tu mpaka hata namna ya kumpokea kila siku, namna ya kumshauri, punguza maswali wakati mtu kachoka, au wakati kula. anapokuwa na mawazo ona kama nawe wahusika mshauri.
6. mweleze mataraji yako kwake, kama mume ungetaka yeye aweje. kama haelekei usipoteze muda, wanaume huwa hatusema wazi kumbe tushamaliza penzi tunaogopa kukuumiza kusema wazi kuwa hunifai.
NOTE. mnapoelezana usionyeshe kupewa huruma wala usiwe mkali, jaribu kuwa wa kawaida, wala usijutie kumpoteza lakini mweleze madhara ya kuwa na wapenzi wengi atakuambukiza au utamwambukiza kwasababu hamjakuta muda hivyo kila mtu anahisia zake huo mda ni mrefu mno kama hajazoea kukaa zaidi ya mwezi bila wewe lazima kuna mahali kishenda kupooza nawe pia hivyo hivyo. kuweni wa wazi.
Asante dada na pole sana, Heri ya mwaka mpya.
Hivi nyie wa wapi nyie? hafu mnajiita wakristo? Enyi akina Yuda mbona nyie mnamsaliti Yesu?
".......Watu hawa wananiabudu kwa midomo yao lakini mioyo yao iko mbali nami....." ASEMA BWANA WA MAJESHI....
Na wazinifu wote sehemu yao ni kwenye lile ziwa la moto......
Ole wenu,ole wenu,ole wenu.
Nina bf wangu ambaye tuko kwenye uhusiano kwa muda sasa, all was very well at the beginning lakini lately naona mabadiliko ambayo yanapelekea mie kupata wasi wasi kwamba he is not serious anymore, ukimuliza what is wrong majibu yanakuwa am very busy, kazi nyingi, shuguli za hapa na pale, inapelekea sometimes inapita mwezi hatuonani na anadai ni vijimambo 2 vinatufanya tuwe apart, mind you haya yote hayakuwepo mwanzoni, basi hivi majuzi nikamtolea uvivu nikamwambia just tell me if its over ili ni move on with my life, lakini akaniambia he still loves me, and am imagining things, hivi hii inawezekana kweli ukaribu ni zero, caring ni sifuri. Naombeni msaada wa ushauri wanajf maana naona things are getting worst.