Nina bf wangu ambaye tuko kwenye uhusiano kwa muda sasa, all was very well at the beginning lakini lately naona mabadiliko ambayo yanapelekea mie kupata wasi wasi kwamba he is not serious anymore, ukimuliza what is wrong majibu yanakuwa am very busy, kazi nyingi, shuguli za hapa na pale, inapelekea sometimes inapita mwezi hatuonani na anadai ni vijimambo 2 vinatufanya tuwe apart, mind you haya yote hayakuwepo mwanzoni, basi hivi majuzi nikamtolea uvivu nikamwambia just tell me if its over ili ni move on with my life, lakini akaniambia he still loves me, and am imagining things, hivi hii inawezekana kweli ukaribu ni zero, caring ni sifuri. Naombeni msaada wa ushauri wanajf maana naona things are getting worst.