Huyo jamaa namfahamuWe kama ni mcha Mungu kweli inakuwaje anashinda mitandaoni kusimanga watu kama Harmonize? Kama Anaona amemkosea Mungu iweje yeye ashikie bango kesi ya Mungu na Harmonize kiasi cha kusema wamfanyie ushirikina wa Albadir?? Yeye ana utakatifu gani? Na unaposema akifa hamtamzika, kwani usupomzika wewe unampunguzia nini ? Na hao mliowazika kwa dua nyingi mna uhakika wameenda peponi? Na kama wewe ni mtu wa Mungu unaonaje kumlingania imani kwa hekima? Hivi ndio mnafanya waislam waonekane wachawi na washirikina, hebu ishi Maisha yako achana na dogo, By the way, unaweza kutuambia hiyo Jinsia ya Mungu kama ni ipi?? Acha hizo
kwani mkuu hujui hao jamaa ndo wanamtetea Mungu wao, badala Mungu awatetee waoWe kama ni mcha Mungu kweli inakuwaje anashinda mitandaoni kusimanga watu kama Harmonize? Kama Anaona amemkosea Mungu iweje yeye ashikie bango kesi ya Mungu na Harmonize kiasi cha kusema wamfanyie ushirikina wa Albadir?? Yeye ana utakatifu gani? Na unaposema akifa hamtamzika, kwani usupomzika wewe unampunguzia nini ? Na hao mliowazika kwa dua nyingi mna uhakika wameenda peponi? Na kama wewe ni mtu wa Mungu unaonaje kumlingania imani kwa hekima? Hivi ndio mnafanya waislam waonekane wachawi na washirikina, hebu ishi Maisha yako achana na dogo, By the way, unaweza kutuambia hiyo Jinsia ya Mungu kama ni ipi?? Acha hizo
SubhanAllah!πHuyo jamaa namfahamu
Ana matatzo ya afya ya akili yaliyo sababishwa na imani ya kiislamu.
Imani ni shambulio la akili.
ASHAUA WANGAPI mkuuHuyo Dr Sulle ni wale waislamu wenye imani kali ambao ukichanganya anakuchinja kabisa. Sio mtu mzuri
NI lini waikiristo walitukanwa na kina mazinge au kuambiwa yesu sio mungu ndio kutukanwa ?yeye mazinge akasema sio anatoa maandiko na wewe unasema ndio unatoa ushahidi wa maandiko matusi yapo wapiNakajua, kalianzaga na akina Mazinge kutukana wakristo miaka ya nyuma, hajitambui
Wengine wanamtolea sadaka za hela Mungu wao,Hana hata mia, badala Mungu wao awape, wanamtolea sadaka za kuteketeza,anapenda nyama choma,huko aliko Hana mbuzikwani mkuu hujui hao jamaa ndo wanamtetea Mungu wao, badala Mungu awatetee wao
usishtuke
Simama usema Allah sio Mungu uone nini kitakukuta.ushahidi wa maandiko upo.NI lini waikiristo walitukanwa na kina mazinge au kuambiwa yesu sio mungu ndio kutukanwa ?yeye mazinge akasema sio anatoa maandiko na wewe unasema ndio unatoa ushahidi wa maandiko matusi yapo wapi