Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,743
- 1,855
hahahahahahaha.........swali lako zuri sana, mi mikono yangu maranyingine huwa kchwani na mara ingine maeneo ya vizazi....huo utafiti ushafanyika na wahenga!!!!!Mtego wa Noti,wewe ukilala mikono huwa una weka wapi?,ata hivyo sio kweli waafrika wakilala mikono huwa wanaweka kwenye sehemu za uzazi,unaweza kutuambia hiyo research uliifanyia wapi??au unataka kuleta story za vijiweni.......!
umekonclude kuwa atakuwa genius? thanks....hilo ndilo kila mzazi huwa anategemea...hongera kwa kuwa na mtoto genius.............akiwa bongo lala uje utupe taarifa tuthibitishe hiyo research yako
Mi naweka mikono miguuni je inamaanisha nini??