Huyu ataoa kweli?🤣

Kama wewe unavyopenda Mishangazi ya JF, Kumbe wengine wake za watu humu... kuna siku hiyo mishangazi itakuvuta maeneo kumbe chezo lishapangwa liko on-set..., kijana ukijitusu tu unaenda kukutana na fumanizi alafu unapakwa futa a.k.a Zutu na unarekodiwa mrejesho unaletwa hapa JF... 😂👍🏾

Video yako ita-trend sana chuoni kwenu na Twitter X
kijana wa darslum huyo kashapakwa wese
 
we mzee sijui kwanini unanichukia😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…