Huyu atapata chuo.?

Huyu atapata chuo.?

i pad3

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,518
Reaction score
378
Wakuu naomba ushauri wenu mdogo wangu wa kike kapata dv 3 ya 16
atapata chuo kweli naomba mawazo yenu kwa anayejua

[TD="width: 4%"][/TD]
[TD="width: 58%"] G/STUDIES-S HISTORY-S DIVINITY-E KISWAHILI-E ENGLISH-S

[/TD]
 
Aombe diploma atapata lakin chuo kikuu haiwezekan coz wanahtaj kwanzia point 4.5 na yeye ana point 3.
 
usihofu mi nina ndugu yangu alipata the same last year now yuko Ruaha University 1st year but lazima asome kwanza pre entry
 
...,.teku..na st john...
Mdogo alifaulu hvo akapata
 
Nashuku sana mkubwa me nilitaka nichukue Barchelor of Arts with Education hapo imekaaje na n vyuo gani n apply ambavyo havina ushndani?
 
tumaini,saut,teku na muccobs.
 
Bwana mdogo omba Vyuo vya private,pia omba Diploma ili uwe na uhakika. Ukikosa BaEd utapata Diploma (uhakika).
 
Wakuu naomba ushauri wenu mdogo wangu wa kike kapata dv 3 ya 16
atapata chuo kweli naomba mawazo yenu kwa anayejua

[TD="width: 58%"] G/STUDIES-S HISTORY-S DIVINITY-E KISWAHILI-E ENGLISH-S
[/TD]

teeeh teeeeh mpeleke chuo cha kilimo ilonga..
 
Wakuu naomba ushauri wenu mdogo wangu wa kike kapata dv 3 ya 16
atapata chuo kweli naomba mawazo yenu kwa anayejua

[TD="width: 58%"] G/STUDIES-S HISTORY-S DIVINITY-E KISWAHILI-E ENGLISH-S
[/TD]

anapata tcu wanataka mtu awe na E mbili na S moja
 
Back
Top Bottom