Huyu au Yule niko njia panda

Huyu au Yule niko njia panda

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
20,419
Reaction score
39,217
Yule viuno vingi sijawahi pata mimi ngosha hadi nachanganganyikiwa soon nitauza ng'ombe zangu kwa mwendo huu.

Huyu mzuri mweupe mrefu type zangu kabisa,ila kitandani gogo hakuna amsha amsha yoyote.

Hakika mabinti wa kusini mnaninogea.
 
Ufundi kitandani Bila mapishi mazuri na adabu ni batili tafuta jamaa mmoja anaitwa Baraka shelukindo muangalie mke wakebutakuja kunishukuru
 
Mleta Mada Naomba Nimtukane Mzazi wako Mmoja Please!
 
Back
Top Bottom