Huyu Aubrein Modiba anacheza namba gani pale Mamelody?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Uyu mchezaji wa Mamelody amekuwa akinichanganya sana ni mtu wa ku shape CHARACTER SANA

Anaitwa AUBREIN MODIBA

Mwenye anajua number anayocheza ananiambia maana kuna Mda namuona kama beki kuna Mda kama kiungo kuna Mda kama winger na Kila nafasi anayo shift anacheza kama mchezaji wa nafasi iyo.

Angalia goli lake la Jana alilofunga unaweza sema ni striker mtupu.

 
Mfumo wa 3 :4:3

Yaani akitoka kipa kuna kuwa na mabeki watatu ambao hawapandi mbele, kati kati kuna mtu wanne akiwemo huyo unaemuulizia majukumu yao ni kukaba, kushambulia, kupanda na kushuka kusaidia mabeki na washambuliaji watatu walioko mbele.

Huyo atakua miongoni mwa watu wanne wa kati.
 
Hiyo mechi na Wydad inasemekana umbali aliokimbia ni kutoka Kibaha mpaka Dodoma .Ananikumbusha wakati nilikuwa nacheza mpira napiga namba sita ya kizamani.Wachawi wakaniroga goti.
Pole
 
Kimenishtua zaidi kuona national team kaitwa kama Defender
 
Labda anacheza free role?

Muangalie modric croatia

Messi barca

Jude bellingham madrid

Max mpia yanga
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimecheka kwa Max, mabwakuuu
sema honestly

max mpia anacheza hivo anaufata mpira uliko haijulikani anacheza namba gani yule jamaa kuna muda utamuona kwenye build up akiufata mpira kuna muda anakimbilia kwenye box asubiri pasi afunge๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Shukrani kwa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ