Halafu kuna yule mwamba mwingine anaitwa Chriss Mudalu, huyu jamaa ni beki ila jana alikuwa kama vile ni winga. Mudalu alikuwa akipanda hauoni gap aliloacha kwa sababu kuna viungo wanamkabia.
Halafu katika soka la mchangani miaka hiyo tulikuwa tunaambiwa na makocha, wewe beki ukipanda, winga lazima urudi umkabie mwenzako.
Sasa pale Simba huwa naona kuna mechi Kapombe na Shabalala wakipanda ma-gap yao yanategemewa kuzibwa na Inonga na Malogne kitu ambacho ni hatari endapo itatokea kaunta ataki ya maana kama kilichotokea siku ile.