Huyu Aubrein Modiba anacheza namba gani pale Mamelody?

Halafu kuna yule mwamba mwingine anaitwa Chriss Mudalu, huyu jamaa ni beki ila jana alikuwa kama vile ni winga. Mudalu alikuwa akipanda hauoni gap aliloacha kwa sababu kuna viungo wanamkabia.

Halafu katika soka la mchangani miaka hiyo tulikuwa tunaambiwa na makocha, wewe beki ukipanda, winga lazima urudi umkabie mwenzako.

Sasa pale Simba huwa naona kuna mechi Kapombe na Shabalala wakipanda ma-gap yao yanategemewa kuzibwa na Inonga na Malogne kitu ambacho ni hatari endapo itatokea kaunta ataki ya maana kama kilichotokea siku ile.
 
Jamaa hucheza kama Beki au Midfielder ila upande wa kushoto. Ukiangalia hata mechi na Wydad, Mamelodi walicheza 4-3-3, na Modiba alikuwa Left Midfielder .
 
Huyu ni kama Yao wa Yanga.
 
Kwa kweli sasa hivi Football imebadilika, ule uchezaji wa 4-4-2 kukalili nafasi, sasa hivi umekwisha. Mchezaji sasa hivi inabidi awe na uwezo wa kukaa hata nafasi 3- Minimum. Wewe fikiria mpira wa sasa, Namba 4 na 5 eti nao wanalindwa.
 
Huyo ni kiungo mkabaji, wakati mwingine hutumika Kama beki
...
 
hiyo nafasi anayocheza jamaa hata mimi huwa nacheza nikiwa mpirani mazoezini ,kasoro yangu mimi ni moja tu sipo vizuri kwenye defending.
 
🤣🤣🤣max
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…