Hii yote kazi ya Lowasa
Sijui nimfanyie nini jamani. Handsome la nguvu side burns zinavutia maana ni safi saa zote. Akivaa nguo zinamfit vzr sana. Tukitoka kila mtu jicho. Sipendi akasirike jmn nitaumia sana. Lakini kuna jambo moja lanifurahisha nikiwaona hao wadada wanavyomtumbulia macho roho yangu mwaaaaaaa natamani waendelee tu kumla kwa macho jmn na si vinginevyo noooooo jmn msimguse pse. Nampenda mimi. Akinishika mkono mwili mzima unakuwa kama jelly kwishney. Dada M na L pse dont look at him like that with ur rolled eyes
Kwani Ndugu Lowasa amekutendea lipi baya mpaka unamchukia kwa kiwango kikubwa hivi..???Hii yote kazi ya Lowasa
Imefanyaje....???Richmond
Kwahiyo anakuelewa?Sijui nimfanyie nini jamani. Handsome la nguvu side burns zinavutia maana ni safi saa zote. Akivaa nguo zinamfit vzr sana. Tukitoka kila mtu jicho. Sipendi akasirike jmn nitaumia sana. Lakini kuna jambo moja lanifurahisha nikiwaona hao wadada wanavyomtumbulia macho roho yangu mwaaaaaaa natamani waendelee tu kumla kwa macho jmn na si vinginevyo noooooo jmn msimguse pse. Nampenda mimi. Akinishika mkono mwili mzima unakuwa kama jelly kwishney. Dada M na L pse dont look at him like that with ur rolled eyes
Kama haujui ilichofanya wewe ni lijinga la mwisho.
Unajaribu kubadili nyeusi kuwa nyeupe??
Nyumbu Mkubwa wewe
Duh!!! @mwasita Moja mbona povu hivyo mkuu?jifunze lugha ya mjadala usiwe mwepesi wa kupanic utatoka kwenye line,umeulizwa Richmond imefanyaje toa jibu acha matusi toa point ikieleweka alouliza atatulia hatouliza tena mbona simple.Kama haujui ilichofanya wewe ni lijinga la mwisho.
Unajaribu kubadili nyeusi kuwa nyeupe??
Nyumbu Mkubwa wewe
Mkuu s/B ni sharafa !! Umenichekesha wee...Etiii side burns ndio nini!!!