aka timbalendi.Etiii side burns ndio nini!!!
Hakyamama. Huu uzungu!! sasa kwani wengine hizo side burns zinakuwaga chafu.. Kweli mapenzi upofuaka timbalendi.
sasa hiyo richmond vina uhusiano gani katika mada hii....Kama haujui ilichofanya wewe ni lijinga la mwisho.
Unajaribu kubadili nyeusi kuwa nyeupe??
Nyumbu Mkubwa wewe
Usione soo SEMA NAEESijui nimfanyie nini jamani. Handsome la nguvu side burns zinavutia maana ni safi saa zote. Akivaa nguo zinamfit vzr sana. Tukitoka kila mtu jicho. Sipendi akasirike jmn nitaumia sana. Lakini kuna jambo moja lanifurahisha nikiwaona hao wadada wanavyomtumbulia macho roho yangu mwaaaaaaa natamani waendelee tu kumla kwa macho jmn na si vinginevyo noooooo jmn msimguse pse. Nampenda mimi. Akinishika mkono mwili mzima unakuwa kama jelly kwishney. Dada M na L pse dont look at him like that with ur rolled eyes
aka timbalendi.
Sasa wanajukwaa tufanye nini???.Sijui nimfanyie nini jamani. Handsome la nguvu side burns zinavutia maana ni safi saa zote. Akivaa nguo zinamfit vzr sana. Tukitoka kila mtu jicho. Sipendi akasirike jmn nitaumia sana. Lakini kuna jambo moja lanifurahisha nikiwaona hao wadada wanavyomtumbulia macho roho yangu mwaaaaaaa natamani waendelee tu kumla kwa macho jmn na si vinginevyo noooooo jmn msimguse pse. Nampenda mimi. Akinishika mkono mwili mzima unakuwa kama jelly kwishney. Dada M na L pse dont look at him like that with ur rolled eyes
Niko naye tayari na mtt juu abt 3 yrnow karibu kaanze shule.Asilia nyingi sana ya wanaume hushindwa kuwakataa wanawake wakiwatongoza moja kwa moja.
Ukijiamini, kwa muda mwafaka, ktk mazingira sahihi na lugha inayoeleweka unammaliza kirahisi tu.
Mind you; uyafanikiwa ktk hili ikiwa tu huyo mbaba anaangukia ktk asilimia nyingi ya wanaume wanaoshawoshiwa na wanawake kirahisi(wenye huruma)
sasa hiyo richmond vina uhusiano gani katika mada hii....