Huyu baba nampenda lakini hanielewi

Huyu baba nampenda lakini hanielewi

Sijui nimfanyie nini jamani. Handsome la nguvu side burns zinavutia maana ni safi saa zote. Akivaa nguo zinamfit vzr sana. Tukitoka kila mtu jicho. Sipendi akasirike jmn nitaumia sana. Lakini kuna jambo moja lanifurahisha nikiwaona hao wadada wanavyomtumbulia macho roho yangu mwaaaaaaa natamani waendelee tu kumla kwa macho jmn na si vinginevyo noooooo jmn msimguse pse. Nampenda mimi. Akinishika mkono mwili mzima unakuwa kama jelly kwishney. Dada M na L pse dont look at him like that with ur rolled eyes
Usione soo SEMA NAEE
 
Sounds kinda like someone is talking about me😀.

I'm licking my chops!
 
Sijui nimfanyie nini jamani. Handsome la nguvu side burns zinavutia maana ni safi saa zote. Akivaa nguo zinamfit vzr sana. Tukitoka kila mtu jicho. Sipendi akasirike jmn nitaumia sana. Lakini kuna jambo moja lanifurahisha nikiwaona hao wadada wanavyomtumbulia macho roho yangu mwaaaaaaa natamani waendelee tu kumla kwa macho jmn na si vinginevyo noooooo jmn msimguse pse. Nampenda mimi. Akinishika mkono mwili mzima unakuwa kama jelly kwishney. Dada M na L pse dont look at him like that with ur rolled eyes
Sasa wanajukwaa tufanye nini???.
 
Kama hakuelewi ulishajaribu kumpeleka tuishieni mchikichini labda???
 
Asilia nyingi sana ya wanaume hushindwa kuwakataa wanawake wakiwatongoza moja kwa moja.
Ukijiamini, kwa muda mwafaka, ktk mazingira sahihi na lugha inayoeleweka unammaliza kirahisi tu.
Mind you; uyafanikiwa ktk hili ikiwa tu huyo mbaba anaangukia ktk asilimia nyingi ya wanaume wanaoshawoshiwa na wanawake kirahisi(wenye huruma)
 
Niko naye tayari na mtt juu abt 3 yrnow karibu kaanze shule.
 
Back
Top Bottom