Huyu baba nampenda lakini hanielewi

Kupenda sio kazi ,kaz kupendwa!
sasa je yy anakupenda?
kama anakupenda hongera...
 
AZIMA JAMVI KABLA HAWAJAOMBA WENZAKO hadi mkono anakushika mbona kama kishaelekea qibla mchinje huyo, usibakize kitu kunywa hadi damu....kama umeumbwa na aibu muombe ALCOHOL AKUPE KAMPAN!!!
 
Oky okay endelea kumpenda ipo siku mtapendana tu usijali...!
Asante mama kwa kuonyesha hisia zako juu ya mtu umpendae mapenzi yenu yatadumu lakini nakushauri usionyeshe upendo wako wa wazi sana mbele za watu hususani mbele za wanamama utawapa nafasi yakumvizia nakutaka kumuonja utamu gani alionao mtu wako..sawa?
 
Mkuu siyo mimi!
Umequote mchangiaji tu mleta maada ndo kamdondokea huyo baunsa!
 
Anaye pendwa yuko mtaani kaja kusema Jf duu muandikie hata kakaratasi basi km unashindwa kumwambia nakupenda usisahau kueka kopa na ule mkuki unaochuruzika damu
 
Dah mara ya mwisho kutamani ilikuwa 2012 yaan mungu ndie ajuae. Tangu hapo ninatamani ingawa sio kivile. Mweeeeeee juzi kati nikwenda kufata barua fulani sekou tour (sp) pale hospital mweee kwenye chumba cha dr jamani nilikutana na mkaka dr yaaan dah kweli moyo una siri kubwa yaan moyo ulifanya paaaaaaaa. Baada ya kupata iyo barua nilirudi kumshukuru, alifurahi sana akanambia mm niwakwanza kurudi kutoa shukrani. Yaan yule dr sijui nisemeje. Anyway athante mungu kwa uumbaji loh
 


Kumbe bado haujahamka tu, Bongo hii? Usikute wewe ni makombo yake wa 4,5,6....ukiona jamaa hana demu wa nje hapa Bongo basi utambue kuwa huyo jamaa uchumi unampiga chenga na yupo anasubiri tu siku apate hela amiliki nyumba ndogo yake au la aopolewe na jimama zungu la unga atunzwe. Katika mapenzi never think kuwa uko peke yako haswa hapa kwetu Afrika. Always leave the option kuwa there's a day utasalitiwa tu ili ikija tokea usiwe na presha ya kujiua. LAZIMA utasalitiwa tu, usijidanganye.
 
Umefanya juhudi gani kumpatia ujumbe kuwa unampenda? Tuanzie hapo ili Tukusaidie. Ila sometimes kama umamfanyia visa mwanaume na hasomeki ni aidha anakuona kama Dada yake, Anae mpenzi anaempenda, ana mke anaemheshimu, anakuoma siyo type yake au ana matatizo, hapo unaweza kujiongeza na kuotea.
 
Kumbe na nyinyi huwa mnatamani km sis wanaume? Sasa mbona tukiwatokea mnaringarnga
 
Ungeomba namba yake mkuu, ungeshampata kiulainiiii…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…