Huyu baba nampenda lakini hanielewi

Huyu baba nampenda lakini hanielewi

Sijui nimfanyie nini jamani. Handsome la nguvu side burns zinavutia maana ni safi saa zote. Akivaa nguo zinamfit vzr sana. Tukitoka kila mtu jicho. Sipendi akasirike jmn nitaumia sana. Lakini kuna jambo moja lanifurahisha nikiwaona hao wadada wanavyomtumbulia macho roho yangu mwaaaaaaa natamani waendelee tu kumla kwa macho jmn na si vinginevyo noooooo jmn msimguse pse. Nampenda mimi. Akinishika mkono mwili mzima unakuwa kama jelly kwishney. Dada M na L pse dont look at him like that with ur rolled eyes
Kupenda sio kazi ,kaz kupendwa!
sasa je yy anakupenda?
kama anakupenda hongera...
 
AZIMA JAMVI KABLA HAWAJAOMBA WENZAKO hadi mkono anakushika mbona kama kishaelekea qibla mchinje huyo, usibakize kitu kunywa hadi damu....kama umeumbwa na aibu muombe ALCOHOL AKUPE KAMPAN!!!
 
Oky okay endelea kumpenda ipo siku mtapendana tu usijali...!
Asante mama kwa kuonyesha hisia zako juu ya mtu umpendae mapenzi yenu yatadumu lakini nakushauri usionyeshe upendo wako wa wazi sana mbele za watu hususani mbele za wanamama utawapa nafasi yakumvizia nakutaka kumuonja utamu gani alionao mtu wako..sawa?
 
Mkuu siyo mimi!
Umequote mchangiaji tu mleta maada ndo kamdondokea huyo baunsa!
 
Anaye pendwa yuko mtaani kaja kusema Jf duu muandikie hata kakaratasi basi km unashindwa kumwambia nakupenda usisahau kueka kopa na ule mkuki unaochuruzika damu
 
Dah mara ya mwisho kutamani ilikuwa 2012 yaan mungu ndie ajuae. Tangu hapo ninatamani ingawa sio kivile. Mweeeeeee juzi kati nikwenda kufata barua fulani sekou tour (sp) pale hospital mweee kwenye chumba cha dr jamani nilikutana na mkaka dr yaaan dah kweli moyo una siri kubwa yaan moyo ulifanya paaaaaaaa. Baada ya kupata iyo barua nilirudi kumshukuru, alifurahi sana akanambia mm niwakwanza kurudi kutoa shukrani. Yaan yule dr sijui nisemeje. Anyway athante mungu kwa uumbaji loh
 
Sijui nimfanyie nini jamani. Handsome la nguvu side burns zinavutia maana ni safi saa zote. Akivaa nguo zinamfit vzr sana. Tukitoka kila mtu jicho. Sipendi akasirike jmn nitaumia sana. Lakini kuna jambo moja lanifurahisha nikiwaona hao wadada wanavyomtumbulia macho roho yangu mwaaaaaaa natamani waendelee tu kumla kwa macho jmn na si vinginevyo noooooo jmn msimguse pse. Nampenda mimi. Akinishika mkono mwili mzima unakuwa kama jelly kwishney. Dada M na L pse dont look at him like that with ur rolled eyes

Kumbe bado haujahamka tu, Bongo hii? Usikute wewe ni makombo yake wa 4,5,6....ukiona jamaa hana demu wa nje hapa Bongo basi utambue kuwa huyo jamaa uchumi unampiga chenga na yupo anasubiri tu siku apate hela amiliki nyumba ndogo yake au la aopolewe na jimama zungu la unga atunzwe. Katika mapenzi never think kuwa uko peke yako haswa hapa kwetu Afrika. Always leave the option kuwa there's a day utasalitiwa tu ili ikija tokea usiwe na presha ya kujiua. LAZIMA utasalitiwa tu, usijidanganye.
 
Umefanya juhudi gani kumpatia ujumbe kuwa unampenda? Tuanzie hapo ili Tukusaidie. Ila sometimes kama umamfanyia visa mwanaume na hasomeki ni aidha anakuona kama Dada yake, Anae mpenzi anaempenda, ana mke anaemheshimu, anakuoma siyo type yake au ana matatizo, hapo unaweza kujiongeza na kuotea.
 
Dah mara ya mwisho kutamani ilikuwa 2012 yaan mungu ndie ajuae. Tangu hapo ninatamani ingawa sio kivile. Mweeeeeee juzi kati nikwenda kufata barua fulani sekou tour (sp) pale hospital mweee kwenye chumba cha dr jamani nilikutana na mkaka dr yaaan dah kweli moyo una siri kubwa yaan moyo ulifanya paaaaaaaa. Baada ya kupata iyo barua nilirudi kumshukuru, alifurahi sana akanambia mm niwakwanza kurudi kutoa shukrani. Yaan yule dr sijui nisemeje. Anyway athante mungu kwa uumbaji loh
Kumbe na nyinyi huwa mnatamani km sis wanaume? Sasa mbona tukiwatokea mnaringarnga
 
Mimi kwa upande wangu ninaona ni vema tuwe na umoja wa vijana, wazee nk wa taifa bila kujali chama anachotoka mtu. Kama mtu anataka kuwa mwanachama wa chama fulani ruksa lakini kuwepo na makundi mengi ni hatari kwa umoja wa taifa letu hapo baadaye. Hatutaki ya Janjaweed kutokea etc. Wakati wa Kampeni za uchaguzi wa mwaka jana tulisikia watu kama akina Lipumba wakilalamika kuwa CCM ilikuwa na makundi ya vijana waliokuwa wakifanya fujo Zanzibar nk je ni kweli?. Lakini pia CUF na Chadema nao walikuwa na vijana ambao walikuwa wanafanya fujo. Mnasemaje juu ya kuwa na jumuiya za kitaifa badala ya hizi za vyama ambazo zinaweza kutugawa sana?
Ungeomba namba yake mkuu, ungeshampata kiulainiiii…
 
Back
Top Bottom