mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
Huyu rapper anaekwenda kwa jina BAGHDADY nimesikiza ngoma yake mpya daah..
Dogo ameamua kujilipua kama Roma.. Nimependa uandishi wake, dogo sasa amekua..
Huu ujasiri tumeu miss sana sie mashabiki wa Bongo Hiphop..
Ule ujasiri wa kina Sugu wa enzi zile "Hali halisi" Kalapina "Alikua tayari kukipaka hata kwa bwana Mkapa".
Hongera Baghdady kwa kutokua muoga kama kunguru wapigie tu.