Huyu Baghdad mmh, ameamua kujilipua kama Roma

Huyu Baghdad mmh, ameamua kujilipua kama Roma

Hii Ngoma kaongea ukweli mtupu kama nipe Namba ya mama kubadili alama za ufaulu baada ya pepa ni ukatili unaua uku unacheka
 
Wasanii watasaidia sana katika harakati za kuistua serikali na umma.
 
Back
Top Bottom