mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
Kibonge pekee anayenenepa kwa stressNdio nani
Ndo maana simjuiKibonge pekee anayenenepa kwa stress
Wacha ujinga si ukamsifie mwenyewe sasa hapa unamsifia nani wewe?
Nimemsikiliza jamaa kaimba kinoma noma big up kwake
Baghdad kapungua sana sijui ana kisukari?Kibonge pekee anayenenepa kwa stress
Dah aisee sijamwona siku nyingi ,Mungu amuepushie mbali ,labda tu ni mazoezi na kupunguza msosiBaghdad kapungua sana sijui ana kisukari?
Labda....yeye mwenyewe anasema kuna dawa ya kupunguza unene ametumiaDah aisee sijamwona siku nyingi ,Mungu amuepushie mbali ,labda tu ni mazoezi na kupunguza msosi