secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Hapo kashaahidiwa zawadi ya siku kuu na mchepuko wake.Dah bata maringoπ€£π€£
Nimesha mjua...π€£Sina utani naye ningemtaja
Ila bata hapana mkuu......Ndege wanapendeza sana, napenda sana ndege
Basi sawa.Bata anaumwa huyo.
Sasa wewe unamfananaisha na nyodo za mishangazi.
YeahMkuu secretarybird upo huku
Sawa mkuuYeah
Mi nahisi ni T......... au basiBasi sawa.
Ni mshangazi gani akiwa anaumwa anakuwa na pigo kama za huyo bata?
Namfananisha na adrizHuyu bata pichani hapa chini anajifanya yeye ndo yeye kama baadhi mishangazi ijifanyavyo humu JF.
Unadhani huyu bata anasadifu tabia ya mshangazi gani humu. Binafsi naona huyu bata kakopi na kupesti tabia za BRAZA CHOGO na BICHWA KOMWE - .
umejiletaπππππ