Huyu baunsa anajiamini nini kumpiga polisi?

Huyu baunsa anajiamini nini kumpiga polisi?

Hao watoto ndio waliokuwa wnatupigia kelele humu wakimponda Nature kwa kugomea show ya laki 5
Ndio hao hao wameenda kutoa mikono 😂 sasa ngoja waje humu kupiga kelele tena
 
Kweli mkuu
Hakuna kitu kibaya kimefanyika hapo kila mmoja yupo kwenye majukumu yake ya kazi kwa hio bila bila in short ni 0-0

Askari mwenye vazi la Serekali ni mlinzi
Bodyguard private kutoka kampuni ya Ulinzi pia ni mlinzi

Kwa hio wamekutana walinzi wanahimizana wanagusana wanachangamshana, unaonekana hata gwalide hujui lipoje au mchaka mchaka upoje hujui

We Kimbweku Mbweku
Kaja Ghetto leooooooooooo

Macho Hana huyu!
 
Tazama hii video uone namna baunsa wa Diamond alichomfanyia polisi.

View attachment 2743522

Kwani huyo Jamaa anaewapa washangiliaji mkono amevaa nyanyapuzo ya Jeans ndio Diamond?

Is he high or drunk? Au ndivyo alivyo siku hizi?

Kuhusu huyo Askari wa JMT si nasikia huwa wanawaogopa sana watu wenye hela? Hata Kama ni watoto wadogo huwa wanawaamkia kabisa (?)
 
Back
Top Bottom