Huyu baunsa anajiamini nini kumpiga polisi?

Kwani polisi ni Nini kama anammudu siwapigane
 
Hakuna kitu kibaya kimefanyika hapo kila mmoja yupo kwenye majukumu yake ya kazi kwa hio bila bila in short ni 0-0

Askari mwenye vazi la Serekali ni mlinzi
Bodyguard private kutoka kampuni ya Ulinzi pia ni mlinzi

Kwa hio wamekutana walinzi wanahimizana wanagusana wanachangamshana, unaonekana hata gwalide hujui lipoje au mchaka mchaka upoje hujui

We Kimbweku Mbweku
Kaja Ghetto leooooooooooo
We Kimbweku Mbweku
weweee usipotoshe uma.kwamba walinzi wawili wamekutana😅😅.

hao wajinga ndio maana hafla za serikali huwa wanafukuzwa wamsubiri boss wao getini nje huko sababu hawakawii kuharibu itifaki kwa kujifanya wako kazini.

popote walipo polisi,wanajeshi,watu wa usalama kwa ajili ya ulinzi huyu bonge inabidi atulie pembeni kama mtazamaji tayari shughuli sio yake,netime atachukuliwa kama mhalifu atasbuliwa sana.
 
Mkorinto umemaliza kila kitu safi kabisa point taken
 
Back
Top Bottom