Huyu baunsa anajiamini nini kumpiga polisi?

Kwani polisi ni Nini kama anammudu siwapigane
 
weweee usipotoshe uma.kwamba walinzi wawili wamekutana😅😅.

hao wajinga ndio maana hafla za serikali huwa wanafukuzwa wamsubiri boss wao getini nje huko sababu hawakawii kuharibu itifaki kwa kujifanya wako kazini.

popote walipo polisi,wanajeshi,watu wa usalama kwa ajili ya ulinzi huyu bonge inabidi atulie pembeni kama mtazamaji tayari shughuli sio yake,netime atachukuliwa kama mhalifu atasbuliwa sana.
 
Mkorinto umemaliza kila kitu safi kabisa point taken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…