Huyu Ben Paul vipi huyu simuelewi kabisa!

kipindupindu

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
1,053
Reaction score
170
Jana kwenye kili music award haka kakijana kalipata mojawapo ya zawadi.kilichonishangaza wakati anatoa salamu za shukrani alishindwa kabisa kuongea,yani alianza kutoa "miguno" kama anati.......
Hivi bongo ameingia sheitwani gani mbona inaelekea watoto wetu wakiume wanaharibikiwa ghafla?
 
Jina,Avatar na unachokiandika sawia kabisa.
 
itakuwa huelewi effects za 'adrenaline',haijalishi ukiwa mwanaume ndio usionyeshe hisia zako..hizo ni chuki binafsi..
 
ni furaha dats why ikawa like that. Bt usimchukulie vibaya. Wapo wa2 mpaka wanalia kwa furaha
 
itakuwa huelewi effects za 'adrenaline',haijalishi ukiwa mwanaume ndio usionyeshe hisia zako..hizo ni chuki binafsi..

effect za adrenaline hazikufanyi utoe mihemo ya ajabu namna ile.kama una clips za tukio la jana angalia waliopokea tuzo na kupata mishtuko-cpwaa,man walter(mwakilishi wa 20%),mpoki,mapacha watatu na linah.wote hawa adrenaline zilipanda lakini mwezangu huyu naona alipandisha estrogen na kuanza kutoa miguno ya kingono yani inaibisha sana.
 
Tuliza wewe, dogo alikua so excited kupata ile Award ,hakua kajianda maana alijua hawezishinda ukizingatia muda wake kuwepo kwenye game ulikua mfupi sana , kwa hiyo ilikua a big surprise kwake, Kawaida san hiyo kwnye tUzo hata angalia za Ulaya or America . Cheki link hapo chini hao jama wanavyo chemka kutoa speech zao au kufanya vituko .Wako wengi ila hawa ni baadhi tuu nao wakumbuka

YouTube - Cuba Gooding Jr.'s ecstatic Oscar® acceptance speech

YouTube - Adrien Brody winning an Oscar® for The Pianist

YouTube - Roberto Benigni winning Best Actor

YouTube - Roberto Benigni goes wild at the Oscars®

YouTube - Gwyneth Paltrow winning an Oscar® for "Shakespeare in Love"

YouTube - Melissa Leo winning Best Supporting Actress
 
Aisee hili jambo la 'usharobaro' limeingia kwa spidi sana.kweli huyu dogo alizidisha ubishoo na yule mwingine joo makini alivaa kihuni mno,stara thomas kavaa tishet imeandikwa kihuni ndio maana tuzo hizi hazina heshima wala mvuto.
Nimependa j-mo alikuwa amevaa kisanii lakini kiheshma.
 
Go to hell Kili Music Awards....wanatoa zawadi kwa masharobaro sio wasanii(proffesional).....
 
Ningefurahi sana na sana zaidi kama hii tuzo ingeiitwa ruge music awards au clouds fm radio music awards, sikubaliani nayo kwa ufupi huyu jamaa anaratibu kila kitu yenye mpaka washindi anateuwa yeye kajaza watu wake wa tht,clouds na prime time kuanzi kwenye zulia jekundu mpaka ma mc loh! Shame on you tbl na kilimanjaro yenu mfano lina na wimbo wake hawezi kufikia wa sam wa ukweli au barnaba ajabu lady jay dee ndie mwanamuziki bora wa kike wa mwaka mhh! Kwa nyimbo ipi au albam gani?
 
:amen::amen::amen:
 
usihukumu kwani kila mtu ana namna yake ya kupokea habari njema.
wengine huwa wanalia,kucheka sana,kupiga mwano au kukata kauli kabisa.
 
effect za adrenaline hazikufanyi utoe mihemo ya ajabu namna ile.kama una clips za tukio la jana angalia waliopokea tuzo na kupata mishtuko-cpwaa,man walter(mwakilishi wa 20%),mpoki,mapacha watatu na linah.wote hawa adrenaline zilipanda lakini mwezangu huyu naona alipandisha estrogen na kuanza kutoa miguno ya kingono yani inaibisha sana.

we mpmbavu hata mtu akikohoa utesema ni mguno wa ngono, akili yako ishaoza na lazima ufe maskni maana huwazi kitu kingine, nyambaf
 
usihukumu kwani kila mtu ana namna yake ya kupokea habari njema.
wengine huwa wanalia,kucheka sana,kupiga mwano au kukata kauli kabisa.

natambua kila mtu ana njia yake ya kuresponde anapopata habari njema,lakini ya huyu dogo sijawahi kuiona mahala popote duniani,hakulia,hakucheka,hakupiga kelele wala hakushindwa kuongea alichokifanya ni kitu dhalili yaani alitoa miguno inayoashiria anafanya mapenzi, kilichoaibisha zaidi miguno ile ni ya kike.
Jamani huo unaoitwa ushalobalo ni hatari sana nakumbuka jenerali ulimwengu alisema hiki kizazi hakiwezi kutunga katiba.nadhani mambo ya ndoa ya jinsia moja yatakuwa ni maoni ya vijana kama hawa.
 
Nakuunga mkono huyu jamaa nikipindupindu haswa

Wala msihangaishe vichwa vyenu wakuu, kama mtu anaona kipindupindu ni avitar nzuri unategemea nini kama mtu huyo upeo wake wa kufikiria ni matope na kila aina ya takataka. Mpotezeeni huyo ameishajitambulisha yukoje.
 
Ningefurahi sana na sana zaidi kama hii tuzo ingeiitwa ruge music awards au clouds fm radio music awards, sikubaliani nayo kwa ufupi huyu jamaa anaratibu kila kitu yenye mpaka washindi anateuwa yeye kajaza watu wake wa tht,clouds na prime time kuanzi kwenye zulia jekundu mpaka ma mc loh! Shame on you tbl na kilimanjaro yenu mfano lina na wimbo wake hawezi kufikia wa sam wa ukweli au barnaba ajabu lady jay dee ndie mwanamuziki bora wa kike wa mwaka mhh! Kwa nyimbo ipi au albam gani?

Zingeitwa Cloud TZ Music Awards naombe siku waanzishe za kwao ili watuachie za kwetu, maana kila kitu yupo huyu jamaa, Ikulu yupo, Kwenye hizo corporates yupo, kila sehemu yupo yani uta dhani ni Silvio Berlusconi kila media yupo, uki zima hii uwashe hii unamkuta yupo daymn, huyu jama sijui mapinduzi gani yafanyike ili atuachie.
 
Wala msihangaishe vichwa vyenu wakuu, kama mtu anaona kipindupindu ni avitar nzuri unategemea nini kama mtu huyo upeo wake wa kufikiria ni matope na kila aina ya takataka. Mpotezeeni huyo ameishajitambulisha yukoje.

achana na avatar yangu ina ujumbe wa afya!rudi kwenye topic
 
Back
Top Bottom