kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,053
- 170
Jana kwenye kili music award haka kakijana kalipata mojawapo ya zawadi.kilichonishangaza wakati anatoa salamu za shukrani alishindwa kabisa kuongea,yani alianza kutoa "miguno" kama anati.......
Hivi bongo ameingia sheitwani gani mbona inaelekea watoto wetu wakiume wanaharibikiwa ghafla?
itakuwa huelewi effects za 'adrenaline',haijalishi ukiwa mwanaume ndio usionyeshe hisia zako..hizo ni chuki binafsi..
Ningefurahi sana na sana zaidi kama hii tuzo ingeiitwa ruge music awards au clouds fm radio music awards, sikubaliani nayo kwa ufupi huyu jamaa anaratibu kila kitu yenye mpaka washindi anateuwa yeye kajaza watu wake wa tht,clouds na prime time kuanzi kwenye zulia jekundu mpaka ma mc loh! Shame on you tbl na kilimanjaro yenu mfano lina na wimbo wake hawezi kufikia wa sam wa ukweli au barnaba ajabu lady jay dee ndie mwanamuziki bora wa kike wa mwaka mhh! Kwa nyimbo ipi au albam gani?
Nakuunga mkono huyu jamaa nikipindupindu haswaJina,Avatar na unachokiandika sawia kabisa.
effect za adrenaline hazikufanyi utoe mihemo ya ajabu namna ile.kama una clips za tukio la jana angalia waliopokea tuzo na kupata mishtuko-cpwaa,man walter(mwakilishi wa 20%),mpoki,mapacha watatu na linah.wote hawa adrenaline zilipanda lakini mwezangu huyu naona alipandisha estrogen na kuanza kutoa miguno ya kingono yani inaibisha sana.
usihukumu kwani kila mtu ana namna yake ya kupokea habari njema.
wengine huwa wanalia,kucheka sana,kupiga mwano au kukata kauli kabisa.
Jina,Avatar na unachokiandika sawia kabisa.
Jina,Avatar na unachokiandika sawia kabisa.
Nakuunga mkono huyu jamaa nikipindupindu haswa
Ningefurahi sana na sana zaidi kama hii tuzo ingeiitwa ruge music awards au clouds fm radio music awards, sikubaliani nayo kwa ufupi huyu jamaa anaratibu kila kitu yenye mpaka washindi anateuwa yeye kajaza watu wake wa tht,clouds na prime time kuanzi kwenye zulia jekundu mpaka ma mc loh! Shame on you tbl na kilimanjaro yenu mfano lina na wimbo wake hawezi kufikia wa sam wa ukweli au barnaba ajabu lady jay dee ndie mwanamuziki bora wa kike wa mwaka mhh! Kwa nyimbo ipi au albam gani?
Wala msihangaishe vichwa vyenu wakuu, kama mtu anaona kipindupindu ni avitar nzuri unategemea nini kama mtu huyo upeo wake wa kufikiria ni matope na kila aina ya takataka. Mpotezeeni huyo ameishajitambulisha yukoje.