Nikianza mimi ukamalizia wewe si inakuwa patapotea?? Maana inaweza tokea balaa nikianza mimi.... kuna hatari wewe ukashindwa kumaliza...Hhmmmm umeanzaaa
Mhh sjakusoma bado,nifafanulie uzry babu mana mie mjukuu wako vooNikianza mimi ukamalizia wewe si inakuwa patapotea?? Maana inaweza tokea balaa nikianza mimi.... kuna hatari wewe ukashindwa kumaliza...
Anza wewe basi ili mi nimalize ili tumalizane kwa amani... ushanisoma?
Zote hizi ni dalili za uchoyo. Hujawahi kujua babu na mjukuu ni wachumba?? Timiza wajibu wako basi...Mhh sjakusoma bado,nifafanulie uzry babu mana mie mjukuu wako voo
Hhmm ww kila mtu mchumba ako jamani,nkianza kukuhesabia apa wa jf hata siwamaliizii,bas tu ngoja ninyamaze,babu wewee mwishoooZote hizi ni dalili za uchoyo. Hujawahi kujua babu na mjukuu ni wachumba?? Timiza wajibu wako basi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao wengine maneno tu, moyo umenichagulia maalkia wa kiarabu... siwezi kwenda kinyume na matakwa ya moyo wangu...Hhmm ww kila mtu mchumba ako jamani,nkianza kukuhesabia apa wa jf hata siwamaliizii,bas tu ngoja ninyamaze,babu wewee mwishooo
Hhhhmmmm babuu,mimi sio mwarabu kwanza[emoji54] alafu mimi nshasikiaga habar zako wala stakiHao wengine maneno tu, moyo umenichagulia maalkia wa kiarabu... siwezi kwenda kinyume na matakwa ya moyo wangu...
Usiogope ukubwa wa samaki, ulizia bei mamii...
Hata kama si mwarabu mi najua wewe ni Arabian queen ... hilo kwangu linatosha.Hhhhmmmm babuu,mimi sio mwarabu kwanza[emoji54] alafu mimi nshasikiaga habar zako wala staki
Staki babuHata kama si mwarabu mi najua wewe ni Arabian queen ... hilo kwangu linatosha.
Hayo mambo ya kusikia kwa watu ndo nlishakuambia... binadamu hawakutakii mema. Kwanini uyasikie kwa watu wakati mwenyewe una masikio? Fanya maarifa uyasikie mwenyewe bhana...
Jamani vibaya hivyo... mamaangu ni mwanamke kama wewe ujue...Staki babu
sasa ntakua na wangap babu jamanii,apa nina mwanao,bado unataka na ww mbn skuelewJamani vibaya hivyo... mamaangu ni mwanamke kama wewe ujue...
Usijali mwanangu hana hiyana. Kizuri anatumia na baba yakesasa ntakua na wangap babu jamanii,apa nina mwanao,bado unataka na ww mbn skuelew
Hhhmm!sheria ya wap io babu aspiriniUsijali mwanangu hana hiyana. Kizuri anatumia na baba yake
Kwemaa![emoji32] [emoji32] [emoji32]
Dah kwema tu japo vituko hivo siviweziKwemaa!
Vi2ko gan tnDah kwema tu japo vituko hivo siviwezi
1. Huyo bibi anaepewa hataki kuridhika na alichorudishiwaVi2ko gan tn
Hahaha bibi anataka arudishe na mtama juu.1. Huyo bibi anaepewa hataki kuridhika na alichorudishiwa
2. Maneno yenu na babu wa jf... maneno laini kama nyoka[emoji216]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Haya mkuu, kumbuka ndege mjanja hunaswa na............ Ngoja babu aje.Hahaha bibi anataka arudishe na mtama juu.
Uyo babu mzoeee tu uzee wake unamjia vibaya,mpk sasa sjui anawangap na kakusudia sjui kunieka wangap[emoji1] [emoji1]