Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,109
Wakuu
mimi huwa ninaposoma iwe kitabu,uzi,gazet biblia nk
Kuna kasauti fulani hivi zinanijia za huyo muandishi yaan kasauti kanaongea ndani yangu kupitia uandishi wake
Na hilo nilifanya research nikamtumia mtu ambae hatukuwahi ongea wala mimi kuisikia sauti yake kabla,
basi nikawa natumia mbinu ya kuchati nae kwenye simu end the day vile saut niliyokuwa naisikia kwenye nafsi yangu pindi ninaposoma text zake, na siku nilivyoongea nae ilikuwa vilevile na si kwa mtu mmoja na humu ndani kila nisomapo uzi wowote huwa saut ya muhusika inanijia huwezi amini hadi sauti ya adamu na eva naijua
Sasa kila nikisoma mada za kidukulilo aka bill Lugalo na huyu bwana taikon sauti za uandishi wao huwa inanijia moja,
Nimejaribu kama mwezi hivi kufuatilia uzi zao majibu yake ni hayo hayo