Huyu bill Lugalo/kidukulilo sio taikon kweli?

Ndenji five

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2021
Posts
1,985
Reaction score
3,109
Wakuu
mimi huwa ninaposoma iwe kitabu,uzi,gazet biblia nk
Kuna kasauti fulani hivi zinanijia za huyo muandishi yaan kasauti kanaongea ndani yangu kupitia uandishi wake

Na hilo nilifanya research nikamtumia mtu ambae hatukuwahi ongea wala mimi kuisikia sauti yake kabla,

basi nikawa natumia mbinu ya kuchati nae kwenye simu end the day vile saut niliyokuwa naisikia kwenye nafsi yangu pindi ninaposoma text zake, na siku nilivyoongea nae ilikuwa vilevile na si kwa mtu mmoja na humu ndani kila nisomapo uzi wowote huwa saut ya muhusika inanijia huwezi amini hadi sauti ya adamu na eva naijua

Sasa kila nikisoma mada za kidukulilo aka bill Lugalo na huyu bwana taikon sauti za uandishi wao huwa inanijia moja,

Nimejaribu kama mwezi hivi kufuatilia uzi zao majibu yake ni hayo hayo
 
Mkuu mawazo yako kama yangu,
Tena ana IDs zaidi tatu humu ñdani zinafanana kuanzia,

Mwandiko,
paragraphs zinavyokaa
Majigambo,
Kujikweza yaani kuvaa uhusika asiokuwa nao n.k
 
IMG_20220926_154917.jpg

IMG_20220926_155006.jpg
 
Wakuu
mimi huwa ninaposoma iwe kitabu,uzi,gazet biblia nk
Kuna kasauti fulani hivi zinanijia za huyo muandishi yaan kasauti kanaongea ndani yangu kupitia uandishi wake

Na hilo nilifanya research nikamtumia mtu ambae hatukuwahi ongea wala mimi kuisikia sauti yake kabla,

basi nikawa natumia mbinu ya kuchati nae kwenye simu end the day vile saut niliyokuwa naisikia kwenye nafsi yangu pindi ninaposoma text zake, na siku nilivyoongea nae ilikuwa vilevile na si kwa mtu mmoja na humu ndani kila nisomapo uzi wowote huwa saut ya muhusika inanijia huwezi amini hadi sauti ya adamu na eva naijua

Sasa kila nikisoma mada za kidukulilo aka bill Lugalo na huyu bwana taikon sauti za uandishi wao huwa inanijia moja,

Nimejaribu kama mwezi hivi kufuatilia uzi zao majibu yake ni hayo hayo

Mimi Nina ID moja tuu Mkuu.

Huyo Dogo Kidukulilo ni Mhanga wa Ajira amemaliza chuo mwaka 2016.
Hatuna mahusiano yoyote.
 
Kiduku ana vituko sana eti Cv yake kubwa sio ya kufanya Kazi duniani ,Rais Samia alivyomtembelea kama tajiri mkubwa Marekani alishangaa kukuta kitabu cha wageni kuna saini ya Bill gates,Obama na Elon Musk
Screenshot_20220926_154708.jpg
 
Wakuu
mimi huwa ninaposoma iwe kitabu,uzi,gazet biblia nk
Kuna kasauti fulani hivi zinanijia za huyo muandishi yaan kasauti kanaongea ndani yangu kupitia uandishi wake

Na hilo nilifanya research nikamtumia mtu ambae hatukuwahi ongea wala mimi kuisikia sauti yake kabla,

basi nikawa natumia mbinu ya kuchati nae kwenye simu end the day vile saut niliyokuwa naisikia kwenye nafsi yangu pindi ninaposoma text zake, na siku nilivyoongea nae ilikuwa vilevile na si kwa mtu mmoja na humu ndani kila nisomapo uzi wowote huwa saut ya muhusika inanijia huwezi amini hadi sauti ya adamu na eva naijua

Sasa kila nikisoma mada za kidukulilo aka bill Lugalo na huyu bwana taikon sauti za uandishi wao huwa inanijia moja,

Nimejaribu kama mwezi hivi kufuatilia uzi zao majibu yake ni hayo hayo
Bill Lugano ndiye Kidukulilo
 
Hello, Habari
Naitwa Lascoo, leo tuna wimbo mpya Youtube ni Lyrics video unaitwa #Wenge
Tafadhali nakuomba uchukue Dakika zako tatu kuutizama, Usisahau Ku-subscribe,Ku-like na Ku-comment,
Ahsate sana🙏, Mungu awabariki.👇

If yes????

Kuna utoto sana sikuhizi humu
 
We utakuwa kula kacheze.mwanaume ngangar hawez kuwa anahis sauti za vidume
 
🤣🤣🤣Kama unaijua sauti ya Adam na Eva vipi ya nyoka ?
 
Wakuu
mimi huwa ninaposoma iwe kitabu,uzi,gazet biblia nk
Kuna kasauti fulani hivi zinanijia za huyo muandishi yaan kasauti kanaongea ndani yangu kupitia uandishi wake

Na hilo nilifanya research nikamtumia mtu ambae hatukuwahi ongea wala mimi kuisikia sauti yake kabla,

basi nikawa natumia mbinu ya kuchati nae kwenye simu end the day vile saut niliyokuwa naisikia kwenye nafsi yangu pindi ninaposoma text zake, na siku nilivyoongea nae ilikuwa vilevile na si kwa mtu mmoja na humu ndani kila nisomapo uzi wowote huwa saut ya muhusika inanijia huwezi amini hadi sauti ya adamu na eva naijua

Sasa kila nikisoma mada za kidukulilo aka bill Lugalo na huyu bwana taikon sauti za uandishi wao huwa inanijia moja,

Nimejaribu kama mwezi hivi kufuatilia uzi zao majibu yake ni hayo hayo
I love this guy Bill Lugano, ni bonge la mshikaji wangu and he is more than rich guy
 
Back
Top Bottom