Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 475
- 1,318
Utamuua kwa bp sasaHicho kipimo kinapima upungufu wa Kinga mwilini, hakipimi VIRUSI.
So, unaweza kuwa na kinga imara ila una VIRUSI
Mkuu kwahiyo nitumie kipimo gani?Hicho kipimo kinapima upungufu wa Kinga mwilini, hakipimi VIRUSI.
So, unaweza kuwa na kinga imara ila una VIRUSI
Mkuu hofu niliyonayo ni kubwa sana sina amani kabisa..pia majibu ya siku 40 yana uzito?Kuwa na Amani kama Vipimo vimekwambia hivyo ishi maisha yako na amani
Kulala na mwanamke mwenye ukimwi haikugarantee kupata ukimwi acha hizo kula maisha kijana, ila jifunze sasa usirudie makosa
Ahahahaha.utamuua kwa bp sasa
Ndugu habari za jumapili.
Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana.
Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwamujibu wake anatumia dawa.
Ilikuwa kama bahati tu baada ya kutafakari maisha yangu, nikamgusia suala la kupima, akakaa kmya muda mrefu ila usiku akaniuliza swali linaloonesha ameathirika aliachiwa na mama na anatumia dawa akawa anaulizia je nitamkubali au nitamkataa.
Mara ya mwisho nimekutana nae June 12 , sikuweza kumeza Prep kwani siku zilikuwa zimeenda Sana ..wakuu na nmesubiri zipite siku 40 majibu nipo Safi je niwe na amani wakuu?.
Carlos The Jackal
rikiboy
Sky Eclat View attachment 2309646
Yaah kuwa na amani siku 40 japo haijafika miezi 3 ila inatosha kabisaa kusema kama ushaukwaa...Ndugu habari za jumapili.
Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana.
Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwamujibu wake anatumia dawa.
Ilikuwa kama bahati tu baada ya kutafakari maisha yangu, nikamgusia suala la kupima, akakaa kmya muda mrefu ila usiku akaniuliza swali linaloonesha ameathirika aliachiwa na mama na anatumia dawa akawa anaulizia je nitamkubali au nitamkataa.
Mara ya mwisho nimekutana nae June 12 , sikuweza kumeza Prep kwani siku zilikuwa zimeenda Sana ..wakuu na nmesubiri zipite siku 40 majibu nipo Safi je niwe na amani wakuu?.
Carlos The Jackal
rikiboy
Sky Eclat View attachment 2309646
NOOOHicho kipimo kinapima upungufu wa Kinga mwilini, hakipimi VIRUSI.
So, unaweza kuwa na kinga imara ila una VIRUSI
Nashukuru sana Boss maana naweza kuwa kichaa aiseh,Yaah kuwa na amani siku 40 japo haijafika miezi 3 ila inatosha kabisaa kusema kama ushaukwaa...
Asante mkuu japo hofu bado ipo maisha haya. Vijana tuwe makini sanaPole kuwa na imani upo vizuri sio lazima kuwa umekutana naye upate
Binti ni mrembo sana mkuu. Ipo siku nitamuelezea vizuri maana sipo sawaHuyo manzi hakuwa na mucus zile nzito za kupiga makofi mkuu mpaka unapata hofu?
Boss hunitakii mema.. nashukuru Mungu nilikuwa natumia mafuta kidogo kulainisha. Kweli uzinzi hauna mwisho mwema.Mwanamke anaetumia dawa za arv anakuwa na uwezekano mdogo wa kuambukiza
Virus wanakuwa wamefubaa sana kwa hiyo mkuu kuwa na amani na endelea kumchakata lakini hakikisha unamuandaa vzr na kusiwe na michubuko
Dah,hawa wanawake wanaroho ngumu sanaBinti ni mrembo sana mkuu. Ipo siku nitamuelezea vizuri maana sipo sawa