Huyu binti ameniletea balaa

Huyu binti ameniletea balaa

[emoji1787][emoji1787] Mkuu Kandambili1 wafwaaa! Subiri baada ya siku 90, kisha pima, utakuja kunishukuru hapa! Kikubwa usiusambaze kwa wanawake wengine tafadhari!
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
One man down
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mkuu ushindwe
 
hofu niliyonayo ni kubwa sana wakuu. Maisha yana siri kubwa sana na binadamu tuna mengi sana rohoni mwetu
Kuhusu kuambikizwa ni vigumu ukizingatia anatumia dawa kwa muda mrefu sana na pia naimani alikuwa hana michubuko wala wewe kuwa na michubuko hivyo ondoa hofu but kapime tena baada ya miezi mitatu kuondoa shaka.
 
Mwanamke anaetumia dawa za arv anakuwa na uwezekano mdogo wa kuambukiza
Virus wanakuwa wamefubaa sana kwa hiyo mkuu kuwa na amani na endelea kumchakata lakini hakikisha unamuandaa vzr na kusiwe na michubuko
Toka hapo sebuleni kwa shemeji yako uende kutafuta ridhiki mtaani!

Amka mkuu! [emoji23][emoji23]
 
Ukimwi sio ugonjwa..
Ukimiwi ni upungufu wa kings mwilini.. unaosababishwa na mtindo mbovu wa maisha... Stress! Kutofanya mazoezi... Na utatibu upungufu wa kinga kwa kula vizuri kufanya mazoezi na mtindo mzuri wa maisha...

Ukimwi ni biashara kupitia Arvs
Usisubutu kunywa Arv kwa huo ndio ukimwi... Population reduction strategies ni kuuwa watu kwa Arvs.

Yani unaaanza kujiua pale utakapo Anza kutumia Arvs .

Hakuna ukimiwi German, USA Italy nk.. ila Africa ni biashara

Ipo wapi corona?????
Ipo wa malaria??

Biashara!!!
Russian Boy
Las Vegas.
 
Kuhusu kuambikizwa ni vigumu ukizingatia anatumia dawa kwa muda mrefu sana na pia naimani alikuwa hana michubuko wala wewe kuwa na michubuko hivyo ondoa hofu but kapime tena baada ya miezi mitatu kuondoa shaka.
Naona miezi 3 haifiki mambo hayaendi mkuu.
 
Mkuu yani nimeanza na kumuogopa, kama kweli anaupendo kwanini asingeniambia toka mwanzo?....amenipitisha kwenye pito kubwa sana na asante nitabeba akili yangu sikuzote
Kweli kuna watu mnamapito, hata mimi mwenyewe hapa nina mawazo sana kwa kuibiwa instagram account yenye followers 2.1M [emoji23][emoji23]

ila kiukweli

R.I.P​

Ukimwi sio ugonjwa..
Ukimiwi ni upungufu wa kings mwilini.. unaosababishwa na mtindo mbovu wa maisha... Stress! Kutofanya mazoezi... Na utatibu upungufu wa kinga kwa kula vizuri kufanya mazoezi na mtindo mzuri wa maisha...

Ukimwi ni biashara kupitia Arvs
Usisubutu kunywa Arv kwa huo ndio ukimwi... Population reduction strategies ni kuuwa watu kwa Arvs.

Yani unaaanza kujiua pale utakapo Anza kutumia Arvs .

Hakuna ukimiwi German, USA Italy nk.. ila Africa ni biashara

Ipo wapi corona?????
Ipo wa malaria??

Biashara!!!
Russian Boy
Las Vegas.
Na kingine!! Hakuna kipimo kinacho onyesha Virusi vya ukimwi na Wala hakijulikani..

Ila wanaangalia kinga so usiamini hata vipimo vyenyewe
 
Ukimwi sio ugonjwa..
Ukimiwi ni upungufu wa kings mwilini.. unaosababishwa na mtindo mbovu wa maisha... Stress! Kutofanya mazoezi... Na utatibu upungufu wa kinga kwa kula vizuri kufanya mazoezi na mtindo mzuri wa maisha...

Ukimwi ni biashara kupitia Arvs
Usisubutu kunywa Arv kwa huo ndio ukimwi... Population reduction strategies ni kuuwa watu kwa Arvs.

Yani unaaanza kujiua pale utakapo Anza kutumia Arvs .

Hakuna ukimiwi German, USA Italy nk.. ila Africa ni biashara

Ipo wapi corona?????
Ipo wa malaria??

Biashara!!!
Russian Boy
Las Vegas.
Do you know the number of gay men who are HIV+ in Europe, USA, and Australia?
 
Kweli kuna watu mnamapito, hata mimi mwenyewe hapa nina mawazo sana kwa kuibiwa instagram account yenye followers 2.1M [emoji23][emoji23]

ila kiukweli

R.I.P​

Mkuu hili linawazisha maana Instagram account unaweza kurudisha au kuikuza Ila sio afya
 
Back
Top Bottom