Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 475
- 1,318
- Thread starter
-
- #41
Mkuu ushindwe[emoji1787][emoji1787] Mkuu Kandambili1 wafwaaa! Subiri baada ya siku 90, kisha pima, utakuja kunishukuru hapa! Kikubwa usiusambaze kwa wanawake wengine tafadhari!
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
One man down
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Majibu ya siku arobaini yana uzito sana,Hapana dada sio upendo ni katika ujana tu. Je majibu ya siku 40 yanauzito?
Kuhusu kuambikizwa ni vigumu ukizingatia anatumia dawa kwa muda mrefu sana na pia naimani alikuwa hana michubuko wala wewe kuwa na michubuko hivyo ondoa hofu but kapime tena baada ya miezi mitatu kuondoa shaka.hofu niliyonayo ni kubwa sana wakuu. Maisha yana siri kubwa sana na binadamu tuna mengi sana rohoni mwetu
Toka hapo sebuleni kwa shemeji yako uende kutafuta ridhiki mtaani!Mwanamke anaetumia dawa za arv anakuwa na uwezekano mdogo wa kuambukiza
Virus wanakuwa wamefubaa sana kwa hiyo mkuu kuwa na amani na endelea kumchakata lakini hakikisha unamuandaa vzr na kusiwe na michubuko
Ooh jama kasha panic sasa.....wee jamaa kwani mbususu ulikula mara ngapi?Mkuu kwahiyo nitumie kipimo gani?
Means ulitembea nayo Ila hukutumia? Kupata Hiv ni mziki Sana maana michubuko ndo chanzomkuu nilitumia mafuta kiasi ya kulainisha ..sijui ilikuwaje sikuhyo Ila nilitembea nayo
Vijana wanapataka wazee wanapata.π€£π€£π€£π€£π€£Mzee Ruksa alipokua Presidaa alisema mahala pale kila mtu apataka, sukari imeingia sumu.
Asante mkuu.. Mtusaidie sana watoto wa kiume kupata taarifa yani kunawengine tunajifunza kwa njia ngumu kiasi hikiMajibu ya siku arobaini yana uzito sana,
Hatari sana...Mzee Ruksa alipokua Presidaa alisema mahala pale kila mtu apataka, sukari imeingia sumu.
Naona miezi 3 haifiki mambo hayaendi mkuu.Kuhusu kuambikizwa ni vigumu ukizingatia anatumia dawa kwa muda mrefu sana na pia naimani alikuwa hana michubuko wala wewe kuwa na michubuko hivyo ondoa hofu but kapime tena baada ya miezi mitatu kuondoa shaka.
ππππVijana wanapataka wazee wanapata.π€£π€£π€£π€£π€£
4 mkuuOoh jama kasha panic sasa.....wee jamaa kwani mbususu ulikula mara ngapi?
Kweli kuna watu mnamapito, hata mimi mwenyewe hapa nina mawazo sana kwa kuibiwa instagram account yenye followers 2.1M [emoji23][emoji23]Mkuu yani nimeanza na kumuogopa, kama kweli anaupendo kwanini asingeniambia toka mwanzo?....amenipitisha kwenye pito kubwa sana na asante nitabeba akili yangu sikuzote
Ndio nilitembea tu peku mkuu,Means ulitembea nayo Ila hukutumia? Kupata Hiv ni mziki Sana maana michubuko ndo chanzo
Na kingine!! Hakuna kipimo kinacho onyesha Virusi vya ukimwi na Wala hakijulikani..Ukimwi sio ugonjwa..
Ukimiwi ni upungufu wa kings mwilini.. unaosababishwa na mtindo mbovu wa maisha... Stress! Kutofanya mazoezi... Na utatibu upungufu wa kinga kwa kula vizuri kufanya mazoezi na mtindo mzuri wa maisha...
Ukimwi ni biashara kupitia Arvs
Usisubutu kunywa Arv kwa huo ndio ukimwi... Population reduction strategies ni kuuwa watu kwa Arvs.
Yani unaaanza kujiua pale utakapo Anza kutumia Arvs .
Hakuna ukimiwi German, USA Italy nk.. ila Africa ni biashara
Ipo wapi corona?????
Ipo wa malaria??
Biashara!!!
Russian Boy
Las Vegas.
Do you know the number of gay men who are HIV+ in Europe, USA, and Australia?Ukimwi sio ugonjwa..
Ukimiwi ni upungufu wa kings mwilini.. unaosababishwa na mtindo mbovu wa maisha... Stress! Kutofanya mazoezi... Na utatibu upungufu wa kinga kwa kula vizuri kufanya mazoezi na mtindo mzuri wa maisha...
Ukimwi ni biashara kupitia Arvs
Usisubutu kunywa Arv kwa huo ndio ukimwi... Population reduction strategies ni kuuwa watu kwa Arvs.
Yani unaaanza kujiua pale utakapo Anza kutumia Arvs .
Hakuna ukimiwi German, USA Italy nk.. ila Africa ni biashara
Ipo wapi corona?????
Ipo wa malaria??
Biashara!!!
Russian Boy
Las Vegas.
Yesuuuuu!!! Aise inaelkea mrembo ana mbususu tamuu4 mkuu
Mkuu hili linawazisha maana Instagram account unaweza kurudisha au kuikuza Ila sio afyaKweli kuna watu mnamapito, hata mimi mwenyewe hapa nina mawazo sana kwa kuibiwa instagram account yenye followers 2.1M [emoji23][emoji23]
ila kiukweli
R.I.P