Huyu binti ameniletea balaa

Linatumia dawa, halafu likipima majibu yanakuwa negative tena??? Sijaelewa hapo mkuu.

Mbona wanasemaga...hata utumie dawa vizuri kiasi gani. Lakini ukipima lazima isome positive?? Mwenye ufahamu naomba unifafanulie hapa.
 
Linatumia dawa, halafu likipima majibu yanakuwa negative tena??? Sijaelewa hapo mkuu.

Mbona wanasemaga...hata utumie dawa vizuri kiasi gani. Lakini ukipima lazima isome positive?? Mwenye ufahamu naomba unifafanulie hapa
Unajua kwann inatokea hivyo ni kwasababu vipimo tunavyotumia kipima ukimwi havipimi idadi ya vvu iliopo mwilini bali vinapima kiwango cha kinga ya kupambana na magonjwa mwilini mwa binadamu inayoitwa antibody

Sasa kwa mtu anaetumia dawa za ARVs vizur antibody yake huwa juu na wakati huo kutokana na matumizi yake mazuri ya dawa virusi vinakuwepo mwilini ila vikiwa vimefubaa yaan haviwez kuushambulia mwili

Kutokana na virus vyake kufubaa ni ngumu sana kuambukiza mtu mwingine
 
Linatumia dawa, halafu likipima majibu yanakuwa negative tena??? Sijaelewa hapo mkuu.

Mbona wanasemaga...hata utumie dawa vizuri kiasi gani. Lakini ukipima lazima isome positive?? Mwenye ufahamu naomba unifafanulie hapa.
Ukitumia dawa vizuri unafikia level wanaita undetected hapo ukipima inakuwa negative na sio rahisi kumuambukiza mtu
 
Hofu uliyonayo ni kama mwanamke ambaye ame do siku za hatari..hujihisi tumbo limeshajaa
 
mtu anaetumia arv haambukizi HIV so usiwe shida humu watu wanawavunja moyo wenzao bro kuwa na amani.....ingekuwa hatumii dawa ingekuwa ishu nyingine....
Asante mkuu, sahizi nimepona kabisa hofu na naendelea vizuri sana. Ubarikiwe sana.
 
Ulitaka kumpeleka kwa mpalange?! Unatembea na mafuta
hapana mkuu, mara kadhaa niliona hana fluid ya kutosha nikawa natumia mafuta, na nahisi yalisaidia sana mimi kutopata michubuko.
 
Ok, shukrani sana kwa ufafanuzi huu, wengi hatuna uelewa kabisa
 
Pole baharia mwenzetu, ila utakuwa upo safe kapime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…