Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 475
- 1,318
- Thread starter
- #161
Mkuu asante sana nipo salama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linatumia dawa, halafu likipima majibu yanakuwa negative tena??? Sijaelewa hapo mkuu.Kuna limaza limoja linao lakin huwa natumia mara moja moja na sina ngoma mpaka sasa na uzuri wake huwa linapenda goli moja tu na lisiwe refu sana maana naona linaogopa kuniambukiza. Tatizo ni litamu muno na linaviuno vya kiustadi kuna muda huwa natamani nilichakaze zaidi ila linanibania
Kwa jinsi linavyotumia dawa vizuri hata likipima ngoma majibu yanatoka kuwa lipo negative.
mtu anaetumia arv haambukizi HIV so usiwe shida humu watu wanawavunja moyo wenzao bro kuwa na amani.....ingekuwa hatumii dawa ingekuwa ishu nyingine....hofu niliyonayo ni kubwa sana wakuu. Maisha yana siri kubwa sana na binadamu tuna mengi sana rohoni mwetu
pole bro hiyo ni anxiety ni hofu itaisha tu lakini uko sawa...Amen mkuu, safari hii kubadilika lazima, maana naishi maisha ya hovyo sana kisa hofu.
Nikiamka saa 9 usingizi haupo Hadi asubuhi ni mawazo tu
Unajua kwann inatokea hivyo ni kwasababu vipimo tunavyotumia kipima ukimwi havipimi idadi ya vvu iliopo mwilini bali vinapima kiwango cha kinga ya kupambana na magonjwa mwilini mwa binadamu inayoitwa antibodyLinatumia dawa, halafu likipima majibu yanakuwa negative tena??? Sijaelewa hapo mkuu.
Mbona wanasemaga...hata utumie dawa vizuri kiasi gani. Lakini ukipima lazima isome positive?? Mwenye ufahamu naomba unifafanulie hapa
Ulitaka kumpeleka kwa mpalange?! Unatembea na mafutamkuu nilitumia mafuta kiasi ya kulainisha ..sijui ilikuwaje sikuhyo Ila nilitembea nayo
Ukitumia dawa vizuri unafikia level wanaita undetected hapo ukipima inakuwa negative na sio rahisi kumuambukiza mtuLinatumia dawa, halafu likipima majibu yanakuwa negative tena??? Sijaelewa hapo mkuu.
Mbona wanasemaga...hata utumie dawa vizuri kiasi gani. Lakini ukipima lazima isome positive?? Mwenye ufahamu naomba unifafanulie hapa.
Duuh kumbe?, mbona hatari sana...Ukitumia dawa vizuri unafikia level wanaita undetected hapo ukipima inakuwa negative na sio rahisi kumuambukiza mtu
Una hofu ya kubinuka!Mkuu ninahofu kuu sana mkubwa.
Enda ukiendaga mara zote hizo!4 mkuu
Asante mkuu, sahizi nimepona kabisa hofu na naendelea vizuri sana. Ubarikiwe sana.mtu anaetumia arv haambukizi HIV so usiwe shida humu watu wanawavunja moyo wenzao bro kuwa na amani.....ingekuwa hatumii dawa ingekuwa ishu nyingine....
hapana mkuu, mara kadhaa niliona hana fluid ya kutosha nikawa natumia mafuta, na nahisi yalisaidia sana mimi kutopata michubuko.Ulitaka kumpeleka kwa mpalange?! Unatembea na mafuta
Ok, shukrani sana kwa ufafanuzi huu, wengi hatuna uelewa kabisaUnajua kwann inatokea hivyo ni kwasababu vipimo tunavyotumia kipima ukimwi havipimi idadi ya vvu iliopo mwilini bali vinapima kiwango cha kinga ya kupambana na magonjwa mwilini mwa binadamu inayoitwa antibody
Sasa kwa mtu anaetumia dawa za ARVs vizur antibody yake huwa juu na wakati huo kutokana na matumizi yake mazuri ya dawa virusi vinakuwepo mwilini ila vikiwa vimefubaa yaan haviwez kuushambulia mwili
Kutokana na virus vyake kufubaa ni ngumu sana kuambukiza mtu mwingine
Subiri siku 90 upate majibu ya uhakika.Mkuu hofu niliyonayo ni kubwa sana sina amani kabisa..pia majibu ya siku 40 yana uzito?
Kama umechovya na haujapata unaweza kuchovya tena usipate, hiyo ni mathematically lakini, sijui kibaiolojia ikoje[emoji23]