RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
Wakuu huko instagram kuna binti anajiita happy77, kumbuka namba77 inavaliwa na mshambuliaji kutoka Tanzania anayeichezea Genk ya ubeligiji (samatta)
lakini nimeshangaa katika post nyingi za huyo dada kila post anampost samatta,huku akimpa majina kibao mara dady, young dady,,,n,k, hata snapchat anatumia happy samatta,
sina nia mbaya na huyo binti wa watu ila anayejua detail zake azidondoshe na ana mishe gani huyo sister hapa bongo