figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #81
Kabla hujafika mi nishatakutangulia, yaani hapa anawachora tu we na figga then anacheeeeka!! Kasema hajibu mpaka aunt yake aje! Lol
Nakuona mratibu....OR should I call u mwezeshaji?? Heheh
figganigga, ushatongoza mademu kibao hapa jf na huko mtaani, sasa kipi kigeni kwako hadi anakushinda maujanja huyo wa sasa hivi???
figganigga kazi ni kwako! MILIONI........mia haifanyi kazi!! Hahah
Dah.....kumbe nawe unakuwaga mnyenyekevu eeh??
habari wakuu. nipeni maujanja ya kutongoza ili nimiliki kifaa.
yaani ni mjanja kinyama. kila ninapo msomesha ananiambia hadanganyiki, nikimsomesha ananiambia eti mimi mzee wa mia ni mzee wa totoz, nmejaribu kujipendekeza kwa kutuma vocha lakini hata asante hasemi. mara aseme yupo busy wakati mda wote namuona jf. hadi hapa kashajijua ni nani. nitumie nafasi hii kumwambia; "nakupenda sana binti. wewe ndo wakunipa faraja. naahidi naahidi kutunza penzi lako na kulienzi. sitakuumiza. Mmwaaa..!!". mia[/Q
Kila nilalapo nakuota wewe kimwana,ninywapo maji nakuona ktk glass,ni kheri wewe mpenzi ulie mbari na upeo wa macho yangu
hakika kila nikila chakula sishibi nakuwaza kipenzi mwenye shingo ya upanga.mwendo wako wa hesabu,sitoweza kungoja kipenzi
lazima aingie king mzee
Mwambie peponi unaiona kwenye paji lake, wakati huo unaweka tabasamu zaidi ya lile la mkulu wakati wa kutetea wezi wa EPA!!
Ha ha ha Figga bana!!
jifanye comedian mchekesheeeee ataingia laini tu.tehe teheeeeeeeeeeee
Asha ngedere?
Pole sn mzee wa mia,h ope mpaka mda huu kwa maombolezo yako haya atakua keshakuckia,jaman ww dada popote ulipo ckia na kupokea kilio cha kijana wetu mkubalie ombi lake apate tulia,mia.
Yeye si anakuita mzee wa totoz. Mfanye aamini kwamba she's the only one for you by letting the whole JF world know what she means to you and who she is... Usipom acknowledge atahisi wapo wengi unaowafatilia kwa style hiyo hiyo...
Mpe invitation ya kwenye candle lit dinner,hapo hata mistari huhitaji tena-from then on itakuwa kama kumsukuma mlevi
asante sana Mkuu. bila shaka kaskia na atalifanyia kazi. nashangaa hata hajachangia kitu. hii ina maana ujumbe umemfikia. mkuu unaweza nipa neno moja zuri la kumwambia? Mia
nimejaribu kumuelekeza lakini wapi. eti mimi nina totoz wengi jf hadi anathubutu kumtaja xg wakati mimi hata sijawahi mtongoza. kinacho niuma zaidi ni pale ninapo mpm asinijibu. Mia