Huyu binti JF kauteka moyo wangu nipeni maujanja ya kumtongoza

Huyu binti JF kauteka moyo wangu nipeni maujanja ya kumtongoza

mkuu wewe si ulisema hutumii fb eti ya watoto! au nimekunukuu vibaya??

ile ni ya watoto. najifunza ili nikizaa mtoto nimfundishe naye akafurahi na watoto wenzie. nashangaa hunipi verse. Mia
 
malaria sugu awe demu wa mia ha ha mambo yatakuwa mazuri akijifungua tu mchezo kwisha
 
Basi achana nae...

ili niachane naye inabidi niwe nimeshapata mwingine. nikiachana naye utanipa kambi? au unataka saint ivuga aniue. mi ntadili na huyu huyu ambaye yupo single japo ananizingua. Mia
 
malaria sugu awe demu wa mia ha ha mambo yatakuwa mazuri akijifungua tu mchezo kwisha

akikubali sharti la kwanza ni kuniomba rukhusa kabla ya kuingia jf. na password yake ya jf naihifadhi mimi. ntahakikisha napata access kwa invisible ya kummoderate. yaani hapo ban MS zitakuwa njenje. Mia
 
Au keshakujua kama unataka kuweka muhuri wako tuu halafu ukimbieeee! zidi kumpa vocha kila siku mpe za elfu 20 mpaka ataanza kuongea polepole....
 
Eliza wa tegeta.mia

hiyo ni name calling. halafu ujue spendi uchokozi fb. mkuu mbona siku ile kwenye vinega ulinikimbia? hata hukuniaga. sasa inakuaje kuhusu ule mpango wetu? Mia
 
Au keshakujua kama unataka kuweka muhuri wako tuu halafu ukimbieeee! zidi kumpa vocha kila siku mpe za elfu 20 mpaka ataanza kuongea polepole....

kulinda penzi letu litakuwa jukumu la kila mmoja wetu. hata yeye aweza nikimbia. Mia
 
Back
Top Bottom