figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #121
mkuu wewe si ulisema hutumii fb eti ya watoto! au nimekunukuu vibaya??
Ukimuuliza anasemaje?
mwenzako alikuwa staki nataka siunaoana jina lake kabana kaachia
Basi achana nae...eti mimi ni mzee wa totoz. Mia
Hahahaaa hajajua hilo tu????Angalia ndugu avatar isijekudanganya hatimaye ukaoa jini.
Basi achana nae...
malaria sugu awe demu wa mia ha ha mambo yatakuwa mazuri akijifungua tu mchezo kwisha
Hahahaaa hajajua hilo tu????
ama kweli mapenzi ni ugonjwa
Eliza wa tegeta.mia
Au keshakujua kama unataka kuweka muhuri wako tuu halafu ukimbieeee! zidi kumpa vocha kila siku mpe za elfu 20 mpaka ataanza kuongea polepole....
Penye nia pana njia.........ongeza sifuri 2 kwenye mia yako labda.
hilo nalo neno. toa hata na verse moja basi!. Mia
duh.....yaani we bado tu unaomba mistari??? Bora niende kwingine tu nikapige vigelegele manake naona huku mambo bado kabisa!! Lol