Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,165
Mkuu wewe unanidanganya. unataka nianze kutapatapa nikose pote. siku ile nilikuomba nizae na wewe ukakataa, ukasema eti unaye wa kwako. eti unampenda sana. yeye ana mtoto tayari lakini wewe huna. nikakubembeleza nikuzalishe lakini ukantolea nje. leo kweli umenipenda au unantania. mwenzio nahitaji kuanza maisha ya ndoa so nipo serious kama vipi sema nibadilishe mawazo kama. tunaandikishana kwa invisible kabisa kama ukinikimbia unanilapa inakula kwako. Mia
mwenzako alikuwa staki nataka siunaoana jina lake kabana kaachia
huyo mimi nimemuweka kiganjani. hata leo nitume nikuunganishie. pm moja tu mambo yanatiki. upo serious au na wewe ni wale wa kuharibu dada zetu?sema bana. Mia
kweli baby nakwambia,nakupenda sana tu.Tatizo wee ulikuwa unantania
naona mambo si mchezo. kweli watu mumedhamilia. yangu macho.
I love you...Ndiyo!
Huyo demu hadi nyani ngabu kapita Mkuu pamoja na Asprin kiufupi sio mchoyohabari wakuu. nipeni maujanja ya kutongoza ili nimiliki kifaa.
yaani ni mjanja kinyama. kila ninapo msomesha ananiambia hadanganyiki, nikimsomesha ananiambia eti mimi mzee wa mia ni mzee wa totoz, nmejaribu kujipendekeza kwa kutuma vocha lakini hata asante hasemi. mara aseme yupo busy wakati mda wote namuona jf. hadi hapa kashajijua ni nani. nitumie nafasi hii kumwambia; "nakupenda sana binti. wewe ndo wakunipa faraja. naahidi naahidi kutunza penzi lako na kulienzi. sitakuumiza. Mmwaaa..!!". mia
Nenda kwao[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]habari wakuu. nipeni maujanja ya kutongoza ili nimiliki kifaa.