Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
[emoji121]
WAKUU!
MIMI HUWA SIJARIBIWI!
HAPA KITAA KUNA DOGO WA FORM 5,
NI PINI MATATAAAAA NA NI MWEUPEEE KAMA YULE tunda WA @YOUNG_DEE,
HUYU MTOTO KAANZA KUNIZOEA GHAFLA BIN VUUUUH!!!
JUZI KANIOMBA
NAMBA YA SIMU ILI NIMFUNDISHE TWISHENI YA KISWAHILI,
HASA KIPENGELE CHA FASIHI,
NA TUMEAFIKIANA TUANZE NA KITABU CHA "Mfadhili" KISHA "Vuta N'kuvute",
BAADA YA HAPO TUDUFUE "Kimbunga" NA " Chungu Tamu",
AMBAPO TUTAMALIZIA NA "Morani" NA "Kivuli Kinaishi"
ILI KUKAMILISHA UCHAMBUZI WA VITABU BILA KUTUMIA TAHAKIKI.
NA KWA KUWA AJIRA ZETU MPAKA SASA ND'O VILE TENA,
NIMEONA NI VEMA NIDUFUE TU PINDI BILA KUDEVELADEVELA!
---------------------------------
JANA HUYU MTOTO
KANITUMIA FRIEND REQUEST FB,
PIA KANI_FOLLOW INSTA & TWITTER,
NA
LEO ASUBUHI KANIULIZIA ID YANGU YA JF KWA LENGO LA KUIMARISHA UKARIBU WA KITAALUMA.
KILICHONISHANGAZA ZAIDI NI KUNIOMBA ANITOE OUT PANDE ZA *Mikadi_Beach* PALE KIGAMBONI
PIA TUPIGE PICHA KADHAA ZA PAMOJA KUDHIHIRISHA UJIRANI MWEMA
(Kitu ambacho nimemwambia asubiri kwanza).
------------------------------------
SASA HAPA MJINI BHANA
WATU WATAKUNYIMA UGALI,
ILA HAWAKUNYIMI MANENO!
KUNA JAMAA MMOJA SIMJUI,
NA NAHISI HATA YEYE HANIJUI KIVILE-
KANIFUATA MIDA HII KANIULIZA,
"Dogo,
We' nd'o Seneta Wa Mtwiz?"
NIKAMJIBU,
"Naaaaam,
Ndio mimi Kiongozi."
AKANIAMBIA,
"We' ni mtoto wa kiume mwenzangu,
na kutokana na hali ya maisha ilivyo inawezekana hapo ulipo hata buku 20 ya nauli ya kurudia kwenu Mtwara huna!
Hivyo wacha tu nikuchane ukweli kwa kukusaidia!
Nakwambia hivi,
Huyu binti mrembo anayekuzoeazoea huyu ana mimba ya miezi miwili na nusu,
Halafu baba yake ni Hakimufawidhi wa mahakama ya wilaya.
Angalia sana usije kuuziwa msala hapa!
Nimemaliza!"
JAMAA AKASEPA!
-------------------------
SASA WAKUU,
HAPA NILIPO NAFANYA INVESTIGATION!
NIKIGUNDUA KUWA HIZI NI MBINU TEULE TU ZA HUYU MWANA KUNITISHIA MIYE NISIPIGE PINDI NIKOSE HELA KWA MTOTO MZURI
ILI YEYE APATE ROOM YA KUPIGA TONGOZO-
ATANITAMBUA!!!
KITAA KIZIMA PATACHIMBIKA HAPA!
--------
*MIMI SIO WA MCHEZO MCHEZO!
NA HUWA SIJARIBIWI KABISA KATIKA KUSAKA HELA KWENYE TWISHENI MIMI!*
AU NIFANYAJE WAKUU??
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]