Huyu binti ni Genious

Huyu binti ni Genious

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
7,835
Reaction score
8,703
HUYU BINTI NI GENIUS!
1793064377394.png
Tangu zile video za wanafunzi wanaoigiza 'UMAFIA' baada ya kuhitimu zienee mitandaoni, ninachokiona mitandaoni ni lawama na kuwakatia watoto wa wenzetu tamaa, badala ya kutafuta ufumbuzi au kutoa fikra chanya!
HAWA NI WATOTO WANACHEZA, HAKI YAO, NA MIONGONI MWAO NI HUYU BINTI PICHANI AMBAYE NAONA NINACHELEWA KUMUONA AKIOLEWA NA NDUGU AU RAFIKI WA KARIBU!
HIKI NI KIPAJI KINACHOTAKA KUENDELEZWA NA SIO LAANA INAYOTAKIWA KUPATILIZWA!
 
Ukiachana na hawo watoto
Nyie mnaowajadili kwa wiki nzima sahvi hamna akili.
Mnajiona watakatifu wakati nyie pia hamuna maadili.

Wewe kila siku unakuja humu kuadhithia mbususu...unafikir mtoto wako atakuwaje?

Pia shukurun watoto wenu hawajachukuliwa video.

Nyie wote ni WAJINGA
 
Hii kitu imepangwa makusudi.. Kuelekea vugu vugu la MO 29 drama zitakuwa nyingi.. Samia haoni aibu kuaribu watoto wadogo ili kutimiza jambo lake...Haiwezekani video za namana hiyo zitokee kwenye zaidi ya shule tano tofauti..hawezekani...
Mlokole na upumbafu kama uji na mgonjwa
 
HUYU BINTI NI GENIUS!
View attachment 3699367
Tangu zile video za wanafunzi wanaoigiza 'UMAFIA' baada ya kuhitimu zienee mitandaoni, ninachokiona mitandaoni ni lawama na kuwakatia watoto wa wenzetu tamaa, badala ya kutafuta ufumbuzi au kutoa fikra chanya!
HAWA NI WATOTO WANACHEZA, HAKI YAO, NA MIONGONI MWAO NI HUYU BINTI PICHANI AMBAYE NAONA NINACHELEWA KUMUONA AKIOLEWA NA NDUGU AU RAFIKI WA KARIBU!
HIKI NI KIPAJI KINAHOTAKA KUENDELEZWA NA SIO LAANA INAYOTAKIWA KUPATILIZWA!
Hizi DP zako mkuu 😂❗🙌🏿
 
Back
Top Bottom