Mlimazunzu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2010
- 415
- 53
Kuna mtu kanionea Kokudo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yeye sio mzoefu hilo la kuvua mwenyewe utasubiri hadi asubuhi,hata kama hutaki ushauri wakiume msikilize Pauline.mia.ivo eeh..!!
Nimetokea kumpenda msichana fulani ambaye kanivutia sana.nikamtongoza akakubali kuwa mpenzi wangu.sasa tatizo nalipata hapa,kila akija getto tunapiga story kama kawaida tunachezeana bila nominenga. lakini ikifika wakati wa ku do nikamuomba tu do hakubali wala hakatai yaani hanijibu ananikodolea macho tu.hapo ndo nashindwa kumuelewa.kukaa kimya ndo amekubali au amekataa?nisaidieni jamani.nampenda sana so sitaki kumuudhi.