Huyu binti simuelewi

Huyu binti simuelewi

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
316
Reaction score
848
Wakuu, kuna kademu kanapenda sana kuwasiliana na mimi japo kana mtu wake, ila kanapenda sana kunipigia pigia. Mara kanipige pige mabusu kwenye simu, sasa ni rafiki tu ananiambia yeye hawezi kuwa na mimi kimahusiano zaidi ya urafiki na anaenjoy urafiki wetu. Sasa wakuu naona kama jau, nitumie njia zipi kumkataa? Au nitumie mbinu ipi kula mzigo?
 
Wakuu kuna kademu kanapenda sana kuwasiliana na Mimi japo kana mtu wake ila kanapenda sana kunipigia pigia na Mara kanipige pige mabusu kwenye simu sasa ni rafiki tu ananiambia yeye hawezi kuwa na Mimi kimahusiano zaidi ya urafiki na anaenjoy urafiki wetu sasa wakuu naona kama jau nitumie njia zipi kumkataa?

Hau nitumie mbinu ipi kula mzigo
Una miaka mingap?!
 
Back
Top Bottom