kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 316
- 848
Wakuu, kuna kademu kanapenda sana kuwasiliana na mimi japo kana mtu wake, ila kanapenda sana kunipigia pigia. Mara kanipige pige mabusu kwenye simu, sasa ni rafiki tu ananiambia yeye hawezi kuwa na mimi kimahusiano zaidi ya urafiki na anaenjoy urafiki wetu. Sasa wakuu naona kama jau, nitumie njia zipi kumkataa? Au nitumie mbinu ipi kula mzigo?