Huyu Binti wa Kipemba anahitaji nini kutoka kwangu??

Siwezi kumfanyia huo unyama ata siku moja,kama atanipa basi anipe kwa hiyari yake.........me ni mlokole
Unajua nasoma komenti najikuta nacheka sana, hataki kumuwekea dompo anasema yeye mlokole, sasa niulize swali hapa walokole gani waliookoka aswa wanaruhusu watu watombane
 
We mtoa mada huu uzi ufungwe hapa, chukua ushauri huu kwa uyu mjuba kamaliza kila kitu.
 
Kijana wangu jitahidi kusoma ,,shamba lenyewe lililobaki ndo Hilo tu numeshauza ili usome,,,mdgo wako kamaliza form 4 na sijui Kama atafaulu ,,jitahidi uiokoe familia,,

Inshallah
 
Hebu komaa na kilichokupeleka chuoni, achana na huyo malaya.

Anajitahidi kuji-brand ili umuone wa maana, ila kwa wengine anagawa vizuri tu.
 
muulize kama ana bikra ya nyuma
Nishawahi kumuuliza sana na nikamkomalia ila alinijibu kwa lafudhi yake maridhawa sana;

"Fulani ninaapa,Wallah wabillah Oqsimo be-Allahi,huo mchezo siwezi fanya ata siku moja japo Wapemba wengi tunafanya ili kuziletea heshima familia zetu"

Nisiwe muwongo haka kabinti kananivuruga sana kakianza kuongea lafudhi yake daah!!! Kama kalizaliwa na Kiswahili
 
Mkuu soma wwe achana na mihemko
 
Mleta uzi una miaka 24 tu. Achana na huyo Mpemba fanya lilokupeleka hapo Chuoni.
 
Nahisi kama nimeanza kuzeeka sasa.. kuna vitu nikisoma nakua naona kama kuna kitu hakiko sawa au kiko sawa sijui kwa mwandishi.
 
Umebaki mwenyewe kufanya maamuzi.
sisi keyboard warriors hatuna nguvu ya kukuamulia zaidi.

ila kumbuka Wanawake wa sasa huwa hawadhuriki na kuachwa maana unakuta walishajiaandaa napema sana.

sasa wewe jitie kinjekitile ngwale komando wa vita kuingia na zana zote za upambanaji, siku ukitekwa na kuachwa utajua hujui
 
Ushauri wako nimpige chini au nimlie timing ili aje ajae mwenyewe kwenye kumi na nane zangu?? Ushauri tafadhali
 
Ushauri wako nimpige chini au nimlie timing ili aje ajae mwenyewe kwenye kumi na nane zangu?? Ushauri tafadhali
ushauri wangu wa mwisho kama una mpango nae sana basi anza KULA TUNDA ili hata akija kuleta za kuleta mbele unakua umepata haki yako ya UPENDO.

ila kumbuka wapemba ni WACHAWI sana. Kukurushia JINI ni suala la kutamka tu.

kukulazia Uume maisha yote ni dakika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…