Huyu Binti wa Kipemba anahitaji nini kutoka kwangu??

Soma kijana.
 
Huyo dawa yake ukuni tu, vinginevyo itakuwa kazi bure

Hakikisha anapelekewa moto, ila afterall una malengo nae? Kama huna kwanini usiachane nae? Temana nae mambo yasiwe mengi
 
Eeh ..haya.
Ila ni muhim kupitia utoto utoto kama huu msije mkaruka stage ukaja onekana wa ajab.
Kaka zako watakushaur vizur, sisi baba zako wadogo na wajomba zako sio sawa ku deal na utoto utoto kama huu.
Acha mibangi 🤣, kupiga Picha na mbape- Usha jiona Messi😄
 
Maliza kwanza masomo yako kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…