GE2025 Huyu bodaboda aliyejitolea kubeba watu bure siku ya Uchaguzi ni bodaboda kweli?

GE2025 Huyu bodaboda aliyejitolea kubeba watu bure siku ya Uchaguzi ni bodaboda kweli?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Hivi ni bodaboda gani anaglow hivi wakuu?

=================

Rajab Mvita Ally ambaye ni Mwenyekiti wa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) kijiji cha Nakapanya amesema siku ya Uchaguzi atajitolea kuwasafirisha watu bure watakaokuwa na nia ya kwenda kupiga kura.

Amesema shauku yake ni kuhakikisha Dkt. Samia Suluhu Hassan anashinda kiti cha Rais kwa kuwa amewasogezea huduma za kijamii katika eneo analoishi.


​
 
Ni wale wale wauza madafu ikulu.
Samia alishajishinda kwenye uchaguzi huu kwani yuko peke yake
 
Afathar nimepata uzi wa kuagia umeingia usiku huu, USIKU MWEMA, mwenyeuzi kama unaendelea kusubili coment we subili tu me nalala.
 
Back
Top Bottom