Huyu Boka ni mchezaji au Bodaboda?

Huyu Boka ni mchezaji au Bodaboda?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Jana kidogo tu, naona watu wanatupia tu mpira , BOKA huyu hapa. Defence yupo, forward yupo.

Boka ana nguvu ana speed, hawa watu Yanga wanawatoa wapi??

Yanga mna uhakika huyu ni mchezaji sio bodaboda? 😂

1726988025435.png
 
Ndugu hili swali m binafsi na mpango wa kwenda kukwona Enganniambie alimsqjili kama bekii..winga am
jana kidogo tu, naona watu wanatupia tu mpira , BOKA huyu hapa. defence yupo, forward yupo.

boka ana nguvu ana speed, hawa watu yanga wanawatoa wapi??

yanga mna uwakika huyu ni mchezaji sio boda boda ?? 😂

View attachment 3102809
A mfungaji
 
Technically bila upendeleo wowote yanga bado hawana timu, jana walikua wanacheza na timu mbovu ni sawa na vijana wa panya rodi waliokusanywa wakaambiwa wakacheze mpira
first half the game was very tactical.

they have a good team, issue ni ways to score, yanga wana watu wengi sana wa kufunga.
 
jana kidogo tu, naona watu wanatupia tu mpira , BOKA huyu hapa. defence yupo, forward yupo.

boka ana nguvu ana speed, hawa watu yanga wanawatoa wapi??

yanga mna uwakika huyu ni mchezaji sio boda boda ?? 😂

View attachment 3102809
Huyu jamaa ilikua awepo wakati wa Mayele, naona kuna timu wakati wa half zingekimbia.
 
Back
Top Bottom