Huyu Boka ni mchezaji au Bodaboda?

Huyu Boka ni mchezaji au Bodaboda?

Technically bila upendeleo wowote yanga bado hawana timu, jana walikua wanacheza na timu mbovu ni sawa na vijana wa panya rodi waliokusanywa wakaambiwa wakacheze mpira
Lucha umetoroka Mirembe, wenzio wakiitwa jina wanasema 'jana' na 'leo' we umeingia mitini, rudi kwanza ukachukue dozi yako kisha uje tena JF.
 
Wakongo wanakimbia sana.mayele Naye alikuwa na mbio sana.Itakuwa urefu unawasaidia akipiga hatua Moja Yuko mbali.Hivohivo na kisinda
Mkuu unataka kuniambia boko,mwamnyeto na mzize wanakimbia sana?
 
jana kidogo tu, naona watu wanatupia tu mpira , BOKA huyu hapa. defence yupo, forward yupo.

boka ana nguvu ana speed, hawa watu yanga wanawatoa wapi??

yanga mna uwakika huyu ni mchezaji sio boda boda ?? 😂

View attachment 3102809
Nikikuambiaga wewe mpira haujui unamehemko una kataa.Ulimkataa Boka kwenye uzi wako huu.

Huku ukiambatanisha na hii paragraph.
BOKA
He was so relaxed on the wing, very good in defence poor in attack . I think Kibabage will keep the number, he was injured just minutes in the pitch. Huyu tumepigwa. I hope he recovers and improve his performance. Mr back passes so far.

Tatizo lako unakihelehele,halafu unajifanya Yanga kumbe ni Kolo FC.
Screenshot_20240919_082604_Chrome.jpg
 
Le
Technically bila upendeleo wowote yanga bado hawana timu, jana walikua wanacheza na timu mbovu ni sawa na vijana wa panya rodi waliokusanywa wakaambiwa wakacheze mpira
Lete timu yako icheze na Yanga huu ni msimu wa 3 mfululizo kimataifa Yanga anaimbiwa nyimbo ya kukutana na timu mhovu. Wewe mwenye timu nzuri Yanga amekugunga mara 3 mfululizo na usipokaza usishangae ukapasuka mara ya 4 mwezi October.
Kipindi Yanga kimataifa haina stori napo hapakua na hizi kelele za kukutana timu mbovu, leo timu imeimarika sana ndo ngonjera zinarindima. Narudia tena peleka timu yako ikacheze na Yanga
 
Balua na Kijiri wanakimbia na mpira spidi kali hadi wanamaliza uwanja na kuangukia mabango, inakuwa goal kick!

Boka aka 'Bolt' anakimbia spidi ya SGR hamalizi uwanja anamwaga maji, jamaa hatari zaidi ya danger!!
 
Nikikuambiaga wewe mpira haujui unamehemko una kataa.Ulimkataa Boka kwenye uzi wako huu.

Huku ukiambatanisha na hii paragraph.
BOKA
He was so relaxed on the wing, very good in defence poor in attack . I think Kibabage will keep the number, he was injured just minutes in the pitch. Huyu tumepigwa. I hope he recovers and improve his performance. Mr back passes so far.

Tatizo lako unakihelehele,halafu unajifanya Yanga kumbe ni Kolo FC.
View attachment 3103115
Huyu ni maji kupwa maji kujaa humu jukwaani mbona wapo wengi kama yeye..
 
Na sisi bongo tuzalishe watu kazi kama huyo...
Hawazalishwi kama matofali, bali inategemea utayari wa mchezaji.

Ili mtu awe kama Boka lazima ajitoe tena sana kufanya mazoezi binafsi na kuacha starehe. Sasa wachezaji wengi wa Kibongo hawawezi hivyo.
 
Back
Top Bottom