Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
huyu anakaba sana, also kama amepewa wings duties. boka ni mzuri sanaAnafananishwa na yule left back mbadala wa zibwe.
A mfungajijana kidogo tu, naona watu wanatupia tu mpira , BOKA huyu hapa. defence yupo, forward yupo.
boka ana nguvu ana speed, hawa watu yanga wanawatoa wapi??
yanga mna uwakika huyu ni mchezaji sio boda boda ?? π
View attachment 3102809
wapo wakina kijiriNa sisi bongo tuzalishe watu kazi kama huyo...
first half the game was very tactical.Technically bila upendeleo wowote yanga bado hawana timu, jana walikua wanacheza na timu mbovu ni sawa na vijana wa panya rodi waliokusanywa wakaambiwa wakacheze mpira
See you in october.Technically bila upendeleo wowote yanga bado hawana timu, jana walikua wanacheza na timu mbovu ni sawa na vijana wa panya rodi waliokusanywa wakaambiwa wakacheze mpira
AaahaaaAnafananishwa na yule left back mbadala wa zibwe.
Aaahaaaa
Huyu jamaa ilikua awepo wakati wa Mayele, naona kuna timu wakati wa half zingekimbia.jana kidogo tu, naona watu wanatupia tu mpira , BOKA huyu hapa. defence yupo, forward yupo.
boka ana nguvu ana speed, hawa watu yanga wanawatoa wapi??
yanga mna uwakika huyu ni mchezaji sio boda boda ?? π
View attachment 3102809
mayele left yanga when it was hot.Huyu jamaa ilikua awepo wakati wa Mayele, kuna half zingekimbia.